letra de away - harmonize
yaw, yaw
dadika 1,440
hunitoki boo
masaa 24
houndoki tu
kwenye moyo w-ngu jenga
sawa
maana kila upano dunda
puh nataja jina lako
kwenye moyo w-ngu ishi
sawa
kila napo taka sema
suuh naiona sura yako
you’re my angle
you’re my everything
you’re my everything
you’re my sweetie
me nataka niwe
na wewe milele
don’t you go away
sioni kama nitapata zaidi ya wewe
don’t you go away
me nataka niwe
na wewe milele
i know
i know
i know
uzuri uzuri wako unawapa chrfu
wenye chuki na hira
basi kama rahisi kuwa na shepu
wakajaribu mloganzira
eti nakesha nakuombea
ndo kisha najiombea
’cause i see this love in the air
and i promise to never sharе
my baby boo
asa mbona huniishi hamu
kutwakucha nakuongelea
wewе nakuongelea
and i swear
baby sio tu damu
hata figo nitakutolea
wewe nakutolea
mwenzako huko nyuma nishazunguka
sitaki hata k-mbuka machungu
yale si mapenzi vitunguu
ila baby wewe
ulinifuta machungu
siku ukienda utaniuax mende kwa bonge la rungu
don’t you go away
sioni kama nitapata zaidi ya wewe
don’t you go away
me nataka niwe
na wewe milele
don’t you go away
baby, baby
don’t go away
don’t you go away
sioni kama nitapata zaidi ya wewe
don’t you go away
me nataka niwe
na wewe milele
letras aleatórias
- letra de dostava - zicer inc. & katakombe
- letra de una abusadora* - quevedo & tiago pzk
- letra de call of the void - searching the architect
- letra de put me down - mother vulture
- letra de thoughts - doctor yizzle
- letra de dominoeffekt - timur
- letra de doja - snott
- letra de ikarus - ckk
- letra de run that - dossy
- letra de i'll be home for christmas - karima ammar