letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de vindu vichenjanga - halisi the band

Loading...

baby me nakupendanga
lakini kweli wee unanitesanga
na ukiendelea hivo vindu vichenjanga ahah

vindu vichenjanga
daily me nakuhallanga
me nakutexti na wee unanilenganga
na sio mara moja ni kitu unafanyanga aaahah
vindu vichenjanga
juzi kwa mama pima nilikupatanga
na yule jamaa wa bodaboda kijana manyanga
na ile minofu ya nyama choma vile mulitafunanga
ukinicheki unajifichanga
na sio mara moja ni kitu unafanyanga aaahah

vindu vichenjanga ahah
vindu vichenjanga ahah

betty kama karanga nimekuchambuanga
vile umenicheza karata umenishafulanga
kama yosimbi viva na banta ile michezo tulichezanga
ajua si unanizungushanga
baby girl jua vindu vichenjanga
nikienda benki si unanifuatanga
tukienda hepi khafoto tunatw-nganga
fesipuku pechi khafoto unapostanga
na nikicheki umenikropanga
hapo fifa kweli kama mpira messi baby si umenichezanga aaahah

vindu vichenjanga ahah
vindu vichenjanga ahah

am gona do you a wichihanti nikupate
na utajua kwamba chapati ni mkate
am gona do you a wichihanti nikupate
na utajua kw-ngu sipendi nusu mkate
nitageuza serikali nimlete yule halima
anipikie wali na samaki wa kupakiwa
nitageuza serikali nimlete yule halima
anipikie wali na samaki wa kupakiwa
yeyeyee

vindu vichenjanga ahah
vindu vichenjanga ahah
vindu vichenjanga ahah
vindu vichenjanga ahah

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...