letra de utamu - haitham kim
tumeenda nyota visura vyetu kama mapacha
ukingoni nish-gota yani utamu kama bazooka
navunja milango ya usaliti baby we unanitosha
samaki mkunje angali mbichi kwako sina nnachokosa
penzi lako mneso nabembea(bembeaa)
sunche mi kapeto nshakoleaa
tukiwaga ghetto nalegea (legeaa)
ukisema kesho nangojea
kwako kilema bila gongo sitembei
thamani ya genge huwa ni bei
mi kimyaa tena bubu siongei
umenikata ngebe sina sei
bridge
kama penzi lako ni maji ni maji basi leo mi ntaogelea
na kama penzi lako midadi midadi basi utamu mi ndo ushan’nogea
ushan’nogea ushan’nogea (utamu)
ushan’kolea ushan’kolea (utamu)
ushan’nogea utamu ushan’nogea (utamu)
ushan’kolea ushan’kolea (utamu)
chorus
utamu u-utamu utamu
verse 2 young lunya
wapi unataka nikupeleke sema
mtihani wa mahaba nakupa zote vyema
kutwa unacheka hata nisipo kutekenya
unanipa nnachosema nitake nini tena zaidi ya utamu
mtu chake bwana mi napata utamu
kasura kako ka kitoto kamekaa utamu
sura ina haya imechanganyika na tabasamu
na hizi corona ndani tu nakulamba utamu
niwazi nimekufa nimeoza
pongezi namtumia mama mzazi aliye kuzaa
wakisema haupendezi haushindani kuvaa
wana kitaani wanasema nimeokota kifaa
(ndio ndio) nisipo kuona moyo unakwenda mbio mbio
ndani ya moyo w-ngu uko peke yako ndio ndio
maneno ya w-nga fanya kuyazibia masikio
wataacha tu au sio
kuachana hiyo kwioo
bridge
kama penzi lako ni maji ni maji basi leo mi ntaogelea
na kama penzi lako midadi midadi basi utamu mi ndo ushan’nogea
ushan’nogea ushan’nogea (utamu)
ushan’kolea ushan’kolea (utamu)
ushan’nogea utamu ushan’nogea (utamu)
ushan’kolea ushan’kolea (utamu)
chorus
utamu u-utamu utamu
letras aleatórias
- letra de hobbybitch - exzessiv
- letra de the chisel - posseshot
- letra de nighttime - sle vxf
- letra de red rum melody - tiffany gouché
- letra de #tuyyo - dellafuente
- letra de fire in the booth - bonkaz
- letra de kalash - haftbefehl
- letra de motivos auditivos - haikaiss
- letra de federally - mdot & showkey
- letra de young - pavvla