letra de kitu kizito - haitham kim
kitu kizito! kitu kizito!
kitu kizito! kitu kizito!
show kali haiendi bila stimu
nivutie mneli tungi upandwe mzimu
mwili w-ngu leo ugeuze gym
nikazie pushup baba tw-nga kinu
angusha baba baba kitu kizito!
ya moto moto leta kitu kizito!
kushoto kulia kata kitu kizito!
aiyayaiyaaa kitu kizito!
midadi ishanipanda baba
angusha unapotaka weka
isweke unapotaka sweka aiyayaiyaaa
aah! misamba baba nakupigia yoga
unyevu wa k-mwagilia mboga
sukari ya bi. zuchu inangoja
yangu ina tv fanya unga tu decoder
nikunje baba jinafasi
nipige roba amba kati
ukisikia milio baba ongeza kasi
niite majirani waulize msiba wapi?
angusha baba baba kitu kizito!
ya moto moto leta kitu kizo!
kushoto kulia kata kitu kizito!
aiyayaiyaaa kitu kizito!
midadi ishanipanda baba
angusha unakotaka weka
isweke unapotaka sweka aiyayaiyaaa
mama mama mama mama niko vizuri
kwanza sifiki k!lleni maana sina nauli
si unaniju vizuri nikilianzisha shughuli
ukifa kifo cha mende mi nakuchimbia kaburi
asa we mamacita punguzaga kunitega
maana huku chini nna kichwa hakina mabega
nasikia uteja mama naskia uteja
leo nna kitu kizito vipi utaweza kubeba?
nikunje baba jinafasi
nipige roba amba kati
ukisikia milio baba ongeza kasi
niite majirani waulize msiba wapi?
angusha baba kitu kizito!
ya moto moto leta kitu kizo!
kushoto kulia kata kitu kizito!
aiyayaiyaaa kitu kizito!
midadi ishanipanda baba
angusha unakotaka weka
isweke unapotaka sweka aiyayaiyaaa
letras aleatórias
- letra de my life matters - 星蓮威 (hoshi hasui) & r-versal
- letra de im sad over small things lol - findsoull
- letra de pay pal - grigoriev
- letra de room for another - mokita
- letra de jake long - luana (arg)
- letra de came with nothing - kingsley
- letra de save me pt. 2* - thehxliday
- letra de punch me harder (live) - superchunk
- letra de your tongue - honeyluv
- letra de 世界線 (sekaisen) - karin.