letra de usiseme no - h_art the band
[intro:]
gituamba!
[verse 1:]
msupa karibu, keti chini nimekawia kukuona
oh kukuona
sibambiki vile siku hizi kuna vile umekua ukinitoka
ukinitoka
ukiniona mtaani vichochoroni wewe huyo unapiga kona
unapiga kona
nieleze kama ni napenda ama ni ukweli ninavoskia eti umechoka
oh umechoka
[hook:]
na kile unataka mi nitadu
ili niwe nawe kila siku
mapenzi tele mchana na usiku
usiku, usiku
na kile unataka mi nitadu baby
ili niwe nawe kila siku mapenzi tele mchana na
usiku usikuu usikuu
eeeeh
[chorus:]
natamani tukue poa, nieleze kama nimenoa
ili kwako niweze rejea, usiseme no no no
natamani tukue poa, nieleze kama nimenoa
ili kwako niweze rejea, usiseme no no no
(repeated)
no no, usiseme no, nooooou
no no, usiseme no, nooooou
no no, usiseme no, nooooou
no no, usiseme no, nooooou
[verse 2:]
unanistalk instagram unanihate si the same
mama mboga anashangaa kwani niliwacha kuja kukopa mboga
mabeshte wanakuulizia nashindwa vile nitawaelezea kule wewe ulikopotelea potelea potelea
mabeshte wanakuulizia nashindwa vile nitawaelezea kule wewe ulikopotelea potelea potelea
[hook:]
na kile unataka mi nitadu
ili niwe nawe kila siku
mapenzi tele mchana na usiku
usiku, usiku
na kile unataka mi nitadu baby
ili niwe nawe kila siku mapenzi tele mchana na
usiku usikuu usikuu
eeeeh
[chorus:] 2x
natamani tukue poa, nieleze kama nimenoa
ili kwako niweze rejea, usiseme no no no
natamani tukue poa, nieleze kama nimenoa
ili kwako niweze rejea, usiseme no no no
(repeated)
no no, usiseme no, nooooou
no no, usiseme no, nooooou
no no, usiseme no, nooooou
no no, usiseme no, nooooou
letras aleatórias
- letra de cold world - dayveon porter
- letra de taken back - insurgence ('96-'99)
- letra de committee - sunshine christo
- letra de facciamo musica - collage (it)
- letra de bones - primz(parody)
- letra de 21 and lonely - what is your name?
- letra de clickhate - man must die
- letra de おバカね (obakane) - pedro
- letra de the house by the grove - tragodia
- letra de bubalu - feid & rema