
letra de ukimwona - h_art the band
[verse 1]
kusema kweli bado nakuhata
and on the daily, bado nakufuata
kosa sio hoja, zaidi ya kukupenda
vipi nikatupa ndoto tulizoziota
[bridge]
uliniwasha nare
enzi zetu za kupare
kwa mvinyo na makali
magizani hadi ngware
nikijifanya dakitare
wa mabinti wale
wenye shepu za hatari
nikapotelea ndani
[chorus]
ila mwambie nampenda
roho yamtamani
bado nampenda
ukimwona
mwambie nampenda
roho yamtamani
bado nampenda
ukimwona
[verse 2]
tabasamu la kishua
roho sawa na maua
i can’t help miss you every morning
vile unapendeza
kama ningewezajua
yepi ya kutarajia
nisingejipata mashakani
kwa niliyoyatenda
ninayempenda ni wewe
hakuna mwingine wa kubadili penzi
ningependa tuelewane
kiburi kisinikosanishe nawe
[bridge]
uliniwasha bare
na sikushika nare
ukanisema kwa jirani
kwamba mimi kisirani
aibu za hadharani
vile penzi hatari
njoo unipe amani
kama hapo zamani
[chorus]
mwambie nampenda
roho yamtamani
bado nampenda
ukimwona
mwambie nampenda
roho yamtamani
bado nampenda
ukimwona
ukimwona
mwambie nampenda
roho yamtamani
bado nampenda
ukimwona
mwambie nampenda
roho yamtamani
bado nampenda
ukimwona
mwambie nampenda
roho yamtamani
bado nampenda
ukimwona
mwambie nampenda
roho yamtamani
bado nampenda
ukimwona
letras aleatórias
- letra de rocket radio - ronnie urini
- letra de the world is yours - bdr!ppyy
- letra de noodle neck (qoiet remix) - spag heddy
- letra de worse - jalenvstheworld
- letra de marcha - souto mc
- letra de webs of entanglement - p.l.f.
- letra de tape out - goldenplatinum
- letra de mandatory - abyssmyth & oliver ttree
- letra de time of our lives - christina perri
- letra de pins & needles - moonwalker