letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de manukato ya sifa - guardian angel, ali mukhwana

Loading...

shamma we ni jehovah dear
umenibeba juu halleluyah
umenijenga juu ya mwamba aaah
mungu umeja wema aah na mapendo eeh
nimeona uzuri wako ooooooh
nani wa kufanana na ebenenezar mungu wa israeli
wa kupenda na kuchukua ni wewe jehovah aaaah
umenifanya muriithi wakusudi lako wema kabisa yeye eeeh
nimutumaini yeyeye yeye nani ila ila ebenezah
na bado unanik-mbatia wakati wa mawimbi
tena bado unanizingatia na kunipa tumaini
nafsi yangu ninakupatia nifinyangee eeeeh
nitalinda moyo w-ngu uuuh ukufuateee eeeeh.

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...