letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de laana - gran geezy

Loading...

yeeah yeh uh yeah
(navie bwana sio mchezo mchezo)

chorus (navie)
ni laana aseeh
maana me ni gangster toka wayback oh yeeh
utakula tango ukishoboka weweeh
siongei sana me ndo mtu wa njia ileeh
aiseeh

ni laana aseeh
maana me ni gangster toka wayback oh yeeh
utakula tango ukishoboka weweeh
siongei sana me ndo mtu wa njia ileeh
(let’s go let’s go let’s goo let’s goo)

verse 1 (gran geezy)
geezus
usinizingue nikiwa na wachizi
wanakula vipisi hawajui hata peace
wanaharibu hawajui kufix
wameshalowa check my drip
cheki maujanja ni kama dude
im all about papers kama shule
(haave mercy!!).. too late!
i’m the illest nipeni biti tu nijidunge
angalizo kwa pisi yako
akija bobo anakula uh!
ndio nina usongo nachemsha ubongo
nalenga soko
niiteke bongo na sijafika hapa solo
nakazia nile vinono
usicheze mbali unga ni robo
leta longo longo nakupa kisogo

nahisi nna pepo nahitaji chachi
nahisi nna laana muulizeni bi mdashi
me ni gangster ila cheki swagga
sitokei gwassa sitokei masaki
sina hata bati nipo kwenye mishe
nipo kibati io njia mnipishe
i’m not here for conversations
its all about murder in this section

chorus (navie)
ni laana aseeh
maana me ni gangster toka wayback oh yeeh
utakula tango ukishoboka weweeh
siongei sana me ndo mtu wa njia ileeh
aiseeh

ni laana aseeh
maana me ni gangster toka wayback oh yeeh
utakula tango ukishoboka weweeh
siongei sana me ndo mtu wa njia ileeh
(let’s go let’s go let’s goo let’s goo)
verse 2 (gran geezy)
uuh
nimepata nafasi mwanangu i can never relax until i level to the max
and ama be on the tv just watch
hold on wait ohh god!
n-z-disha maujuzi kwenye mic
i drive ’em crazy gia hazikatai
yeah i go hard but babe usiogope
come closer i don’t bite
nataka vizima pisi don’t waste ma time

they be like yoh g unakamia mbona bado ndo natengeneza njia
niko na wana tuko na dhana ila sio za mipira and ma competition is what i see on the mirror
my life is a movie na hii bado ni teaser
ma flow ni mengi kama beach za ibiza
nafanya ma action na sijawai kuigiza

sio hata utani najiona mbali nshakula majani
ah.. mchicha, peek a boo! nawatisha
nikizama booth tu ni giza nawaficha
sijawai kusita talking bout classes me kiranja yeah ma n-ggah
i getting bigger
nani anabisha??…hakuna kabisaah!

chorus (navie)
ni laana aseeh
maana me ni gangster toka wayback oh yeeh
utakula tango ukishoboka weweeh
siongei sana me ndo mtu wa njia ileeh
aiseeh
ni laana aseeh
maana me ni gangster toka wayback oh yeeh
utakula tango ukishoboka weweeh
siongei sana me ndo mtu wa njia ileeh
(let’s go let’s go let’s goo let’s goo)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...