letra de angela - govice
Loading...
nimeamua sio siri tena
yaliyo moyoni acha niseme
hakika moyo ukipenda
kama ni pombe niache nilewe
miaka rudi miaka nenda
ninachoomba omba nipewe
ninakuita mama angela we
nayempenda ni wewe
you’re the reason am working so hard
kwenye giza umenipa furaha
umenipa mimi pa kukaa
kwenye moyo wako
uwe dawa n’shaakupata
wanimaliza dance ‘kikata
umenipa nachotaka
you’re the one that i love and i want
angela ooh angela
niko tayari kwenda jela
sababu yako ma’ fela
unanipa’ga sleepless night
angela ooh angela
niko tayari kwenda jela
sababu yako ma’ fеla
unanipa’ga sleepless night
letras aleatórias
- letra de llora (live) - cecilia
- letra de не играю мастера (i don't play the master) - takeru
- letra de rap do majin boo (dragon ball z) - eu sou um caos - 7 minutoz
- letra de give it away - burnswell
- letra de kill on convenience - swagdisease
- letra de en lo hondo - hakuna group music
- letra de energie - chibi ichigo & sophie straat
- letra de new life (freestyle) - rocco hunt
- letra de längesen - epilog - petter & simon superti
- letra de usine - julai