letra de naogopa - gosby
artist: gosby feat. ommy dimpoz
song: naogopa
lyrics: gosby and ommy dimpoz
produced: nah reel
intro
gosby, swaghili, na na nahreel
ngw-ngwaliza ngwingwolola x 2
ila sina noma mie, ila sina noma mieeeeeh
yebaaaaaaa
chorus – ommy dimpoz
nampenda penda ndo mana an-z-ngua
siwezi muacha nataka niko naye
anaringa ringa na mahaba anayajua
kama pacha nataka niwe naye { ndo mana}
ogopa mi naogopa kukuacha mi naogopa
ogopa mi naogopa ndo mana niko naye
ogopa mi naogopa kukuacha mi naogopa
ogopa mi naogopa ndo mana niko naye
verse 1 – gosby
hivi we kwanini unataka vitu vingi hata nikisema no bado vitu vingi/
you want some more yani vitu vingi mapenzi gani haya yani full vitimbi/
unanipeleka peleka ushanifanya mi pimbi/
i wanna buy shoes do you have some money/
i wanna buy clothes do you have some money/
hivi we unadhani mi nafanya kazi gani/
nikifoka unacheka/ nikisepa unadeka/
nakukuacha sitoweza sijui kwa chupa ushaniweka/
nikifoka unacheka/ nikisepa unadeka/
nakukuacha sitoweza sijui kwa chupa ushaniweka/
chorus – ommy dimpoz
nampenda penda ndo mana an-z-ngua
siwezi muacha nataka niko naye
anaringa ringa na mahaba anayajua
kama pacha nataka niwe naye { ndo mana}
ogopa mi naogopa kukuacha mi naogopa
ogopa mi naogopa ndo mana niko naye
ogopa mi naogopa kukuacha mi naogopa
ogopa mi naogopa ndo mana niko naye
verse 2- gosby
huh why you do that to me/
tell me somethin’
why you do that to me/
we unaenda na simu bafuni/
nakuambia kesho mi narudi saa k-mi/
nasikia unamabwana ka k-mi/
eti umesikia mi natoka na umi/
hujanipa tunda huu mwezi wa k-mi/
nilivyokua fala nakupenda tu mi/
kama twitter nakufollow/
hujaridhika na mi we mi hollo/
unaona kwako mi niko dollo/
nikiomba chezo hah tomorrow/
huh kama twitter nakufollow/
hujaridhika na mi we mi hollo/
unaona kwako mi niko dollo/
nikiomba chezo tomorrow huh/
chorus
nampenda penda ndo mana an-z-ngua
siwezi muacha nataka niko nae
anaringa ringa na mahaba anayajua
kama pacha nataka niwe nae { ndo mana}
ogopa mi naogopa kukuacha mi naogopa
ogopa mi naogopa ndo mana niko naye
ogopa mi naogopa kukuacha mi naogopa
ogopa mi naogopa ndo mana niko naye
bridge- ommy dimpoz
i do i do it for you coz u ur my boo
i do for you heeeh
i do i do it for you coz ur my boo
chorus
ogopa mi naogopa kukuacha mi naogopa
ogopa mi naogopa ndo mana niko naye
ogopa mi naogopa kukuacha mi naogopa
ogopa mi naogopa ndo mana niko naye
outro – gosby
nikifoka unacheka/ nikisepa unadeka/
nakukuacha sitoweza sijui kwa chupa ushaniweka/
nikifoka unacheka/ nikisepa unadeka/
nakukuacha sitoweza sijui kwa chupa ushaniweka/
ila sina noma mie
letras aleatórias
- letra de distance between - school of language
- letra de to commemorate an imaginary life that dies prematurely - vyto b
- letra de intemporel - bttp
- letra de prettyboi bounce - pasha
- letra de marqué à vie - brasco
- letra de hang on to the night - tegan and sara
- letra de brzina - peta kolona
- letra de right here right now - dpr live
- letra de cordas - orteum
- letra de dangerous attraction - kharlles