![letras.top](https://letras.top/files/logo.png)
letra de kama si wewe - goodluck gozbert
[verse 1]
nawala sio sababu ya jina langu
wala sio sababu ninafaa
najua sio sababu ya sadaka zangu
maana ndio bado nina shangaa
nlijua kwamba
nimesha poteza nafasi
mimi ni nani kwani
nakosa neno kusema
ooh unisamehe
sikujua unanipenda hivi
umefanya bure
sawa na upendavyo
ume ruhusu niwe
vile upendavyo
nita kushukuru tu
kwa neema
asante tu
kwa wema
nina kushukuru tu
kwa neema
asante tu
kwa wema
[chorus]
maana kama si wewe
(kama si wewe, ningekua waaaapi)
kama si wewe
(kama si wewe, ningekua waaapi)
maana kama si wewe
(kama si wewe, ningekua waaapi)
maana kama si wewe
(kama si wewe, ningekua waaapi)
wacha machozi
(wacha machozi yatiririke tu
yanitirike (wacha kilio, nikulilie mungu)
bac wacha machozi
(wacha machozi, yatiririke tu)
wacha kilio
(wacha kilio, nikulilie mungu)
natafuta cha kunitenga nawe
bado sijaona
nilisha katwakatwa moyo
na kupondwa na wanadamu
leo wata niambia nini
ni kiwa nawe
leo wata niambia nini uuh uuuh
ni kiwa nawe
pesa huitwa sabuni
ila ….maji niwe
unioshe bwana
nitakase
nita kushukuru tu
kwa neema
asante tu
kwa wema
nina kushukuru tu
kwa neema
asante tu
kwa wema
[chorus]
maana kama si wewe
(kama si wewe, ningekua waaaapi)
maama kama si wewe
(kama si wewe, ningekua waaapi)
kama si wewe
(kama si wewe, ningekua waaapi)
maana kama si wewe
(kama si wewe, ningekua waaapi)
wacha machozi
(wacha machozi yatiririke tu)
yanitirike
(wacha kilio, nikulilie mungu)
wacha machozi
(wacha machozi, yatiririke tu)
wacha kilio
(wacha kilio, nikulilie mungu)
letras aleatórias
- letra de one more night - starpoint
- letra de company - bunsa
- letra de science museum - alpharad
- letra de kerstgevoel - lildyl
- letra de eyes - limbs(us)
- letra de heaven only knows - xylø
- letra de tutto quello che ho - acoustic version - mr. rain
- letra de walk it out rmx - mek. (ita)
- letra de stasis - every stranger looks like you
- letra de endless - remedy drive