letra de hizi taabu zangu - ghaiza the kenyan alpha, bacs(eddy amin)
verse 1: ni hangaiko za maisha, kil siku kujimudu, kujikimu, kujilisha, nitawezana kweli? heri nipate chance, nafasi kidogo, kupunguza hizi fikra nitulize hii ubongo, si uwongo, mawazo yamenijaza nina dhiki kwenye giza na shida kwenye mw-ngaza, lakini naamini nitafika, rent sijalipa, mziki kwenye speaker ni kipaza cha kusikika, thoughts zaenda deeper, mungu niokoe juu bado nababaika cheki, kuwa kiumbe ni kuwa kasoro, nimechoshwa na uchungu kunifika kwa roho, so, wacha nichape shot, pia niseti moja, nikirelax kwenye sofa mimi sina hoja, najua siku itafika sitalia juu ya….
verse 2: big tracks of land ploughed to plant/
treat soil then buy seeds na fertilizer bags/
work force pia si free bado ninatokwa cash/
from planting upalilizi na kuvuna plants/
weather focus says kutakuwa freshi/
thank god round hii mvua imekuwa plenty/
but for awhilе then capish, ka mgeni asiye tarajiwa drought pops in/comеs in consumes all nime accomplish/
na k-mbuka all these funds ni some loan thing/
ohh my god h-ll on earth what i’m i gonna do/
ile same same time ingine ina pop kwa room/
what the f-ck ati anthrax prophet of doom/
nikimshika right now naweza k-m-chew ka food/
mifugo wote, wako dead and gone/
nilifanya nini mola ni amend my wrongs/
please say a word boy wako niko torn/
i’m down for anything i’m down for any cost /
provided ni-go back to ile place na belong/
coz for the moment niko for sure lost/
letras aleatórias
- letra de yellow light - unknown nobody
- letra de hidden galaxy - ygor sunny
- letra de no hook - lull co
- letra de madre sabe bien - irasema terrazas
- letra de mitos urbanos - estraca
- letra de collision - ygor sunny
- letra de is there no one in your world but you? - the family jams
- letra de singing in the shadow: part 4 - dang show
- letra de montana (intro) - members only group
- letra de pain relief part 2 - tantskii