letra de asante - ghafla
intro (ghafla)
yeeah
nashukuru kwa kila kitu ujue
maisha ambayo tumeyapata au sio,watu..
a-city
chorus (ghafla)
g.h.a -3
silaha yangu dua sio ak
g.h.a -3
sasa najiskia nipo ok..ah
navaa napendeza nina options
asante kwa upendo muda wote
ni mengi umenibariki haunichoki
shukuru kwa uzima upo okay..ah
verse 1 (ghafla)
asante kwa uzima mungu dokta (fundi)
afya ni utajiri unaniponya
sina bifu na yoyote niko poa
na siku sina vocha nina watu inanitosha
furaha ni kila kitu cheko hii.hii
najua uwezo w-ngu sitaki kiki
hakuna cha kudumu nipo home streest
kikubwa umenibarikiwa ni mziki..eh
nipo ghetto mtaa wa kati
chakula cha manati
na ndoto za uswazi ni tupate
papa nipo fresh kabisa
ninapotoka tupo live na maisha
niite g.h.a a.k.a mara paap
nionyeshe inavyochezwa ukinikuta nipo club
kama nipo hai nitaifanya kwa mitaa
upendo ubaki nguzo zima chuki leta furaha like yeaah..
chorus (ghafla)
g.h.a -3
silaha yangu dua sio ak
g.h.a -3
sasa najiskia nipo ok..ah
navaa napendeza nina options
asante kwa upendo muda wote
ni mengi umenibariki haunichoki
shukuru kwa uzima upo okay..ah
verse 2 (ghafla)
niliwaomba j-po chance wakaninyima chance
sijakuomba mara nyingi ila ukanipa chance
rafiki niliowaamini wakagеuka chatu
hawakuwa kama wewe na haukuniacha katu
kupambana pekе yako ujue inachosha
kwenye msitu mnene ndo shujaa atapotoka
hivyo sikuchoka
baraka zinasambaa kila kona
kila siku n-z-ona
na ninaona watu
hii inanipa amani unaona shavu?
unaona kw-ngu?
nanyuka pamba kali kiroho safi
saidia ninachoweza wanaohitaji
sijala bata mashariki ya mbali
ila sikufichi nina furaha isiyo kifani huku nyumbani
msosi wa kusaza tunauwaza ila unakifu
natoka uswahili ila utadhani mtoto wa chief
tunaficha umaskini kwa unadhifu mtakatifu
tunapika ngoma kali kila siku wanasadifu now wanasifu
chorus (ghafla)
g.h.a -3
silaha yangu dua sio ak
g.h.a -3
sasa najiskia nipo ok..ah
navaa napendeza nina options
asante kwa upendo muda wote
ni mengi umenibariki haunichoki
shukuru kwa uzima upo okay..ah
outro (ghafla)
asante kwa uzima muda wote (g.h.a)
asante kwa uzima muda wote(dobe pro)
ni mengi umenibariki haunichoki(mas classic)
shukuru kwa uzima upo okay(yung)
g.h.a -3
asante kwa uzima muda wote
ni mengi umenibariki haunichoki (asante)
g.h.a
letras aleatórias
- letra de joyride - babii
- letra de stone cold - with lyrics - bill exists
- letra de don't be silly - piccolo principe
- letra de freak - lipstickangel
- letra de 理想的ガール - かわにしなつき (kawanishi natsuki)
- letra de lean in my cup (freestyle) - otm
- letra de разворот ( reversal ) - xemory
- letra de mirage (feat. tory lanez) - bryson tiller
- letra de newspaper man - the tate gallery
- letra de sunshine - chaney & jones