letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de umechelewa - gaza

Loading...

intro

verse 1
napata ujumbe kwa simu nikicheki natambua hii nambari, nausoma huo ujumbe (umetoka wapi sijui huyu ni nani)eti wanijulilia hali waomba niko salama, lakini mi na we twajua ukweli halisi

chorus
walikosa penzi, wahitji mwenzi, hautawahi pata mahala pengine eeei eiii penzi langu, nilikupa roho yangu uliamua sitoshi mboga na sasa wataka tuanze tena

maji yakimwagika (hayazoleki tena) maji yakimwagika (haya zo oleki tena)

verse 2
chambilecho wahenga (mpende akupendae asokupenda wachana nae) pia walisema (usiwache mbachao kwa msaaal a upitao) huwezi rudi nyuma (siwezi rudi nyuma siwezi rudi nyuma) usione kovu ukadhani kidonda kapoa

chorus
walikosa penzi, wahitji mwenzi, hautawahi pata mahala pengine eeei eiii penzi langu, nilikupa roho yangu uliamua sitoshi mboga na sasa wataka kurudi kw-ngu kuwa w-ngu ili mradi uniite asali wako wa moyo. walikosa penzi, wahitaji mwenzi, hautawahi pata mahala pengine eeei eiii penzi langu, nilikupa roho yangu uliamua sitoshi mboga na sasa unataka tuanze tena. walikosa penzi, wahitaji mwenzi, hautawahi pata mahala pengine eeei eiii penzi langu, nilikupa roho yangu uliamua sitoshi mboga na sasa unataka tuanze tena

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...