letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de imebidi - g3tta

Loading...

oh boy!

[hook]
ikiitika ndo imebidi wala sio ndulute
not slowing down, ongeza spidi
lazma nkukute
ndo imebidi wala sio ndulute
no slowing down, no slowing

[verse]
wale wa jokes, nawaweka kando (oh oh)
jicho gololi uku mkono uko kwa koo (oh oh)
cause going hard is all i know (oh oh)
mikazo mwa-mwi haina kusema no (oh oh)
malumbano apa usituletee
nipo na wanangu and we be blazing all day
hatupendi kelele
tuache tu-elevate
so usituletee

[hook]
ikiitika ndo imebidi wala sio ndulute
not slowing down, ongeza spidi
lazma nkukute
ndo imebidi wala sio ndulute
no slowing down, no slowing

[verse]
suckaz fear
g3tta ninapo ingia
wanajua nitasakafia
hakuna kitachobakia
hakuna kilichosalia
muda wa kukurumangia
kabla mavoodoo
hawajavamia
sitaki gubu
better get outta here
g3tta napariria
we bout to party here
so acha kukanyagia (ey)
ebana usikae kiree
shout out to ndagore
haina kuvaa kibag
na tunajaza bag
huwaga hatungoji chance
huwaga hatungoji chancе

[hook]
ikiitika ndo imebidi wala sio ndulute
not slowing down, ongeza spidi
lazma nkukutе
ndo imebidi wala sio ndulute
no slowing down, no slowing

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...