letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de zao - fivara

Loading...

“zao”

[intro:]
touch music, 9th baba kwenye mdundo
prof. ludigoo, fikra ni vazi la rap
wakilisha mbwa wakali, muzik att-tude
(twende)

[verse 1:]
zao la prof. jay, zao la mr. ii
zao la kwanza unit, kwa kifupi k.u
nadata kwa ushairi sio mapozi ka’ bluu
zao la chindo man kutoka kijenge juu
zao la j.c.b acha nilenge tu
ukiskia pah! imekukosa panda taxi twenzetu
zao la fid q, zao la dandu
sina makosa, unauaa gemu ndio masomo yangu
zao la hasheem dogo, zao la kikosi
zao la salu uandishi nilionao mikosi
usiulize zao la nani? hili zao la rado
chem chem ya maarifa sio mitambao ya chabo
zao la zay b ona sasa nipo gado
zao la nature na vina ka’ msitu vipo bado
zao la sister p, zao la rah p
kazi ya mola haina makosa, mi sio zao la madee

[chorus:]
fikra ni vazi la rap
(zao)
nipo kuikinga hiphop kama ngao
waliotangulia wamefanya sehemu yao
tumejifunza kwao, tuwape heshima yao
fikra ni vazi la rap
(zao)
nipo kuikinga hiphop kama ngao
waliotangulia wamefanya sehemu yao
tumejifunza kwao, tuwape heshima yao

[verse 2:]
usilete za kuleta, hili zao la dudu baya
kitaani most wanted kisa nahusudu kaya
nageuka zao la vinega, siwezi abudu hawa
kuipigania haki, hawawezi kutugawa
zao la imam abbas na mitaa ya kati
inatuokoa sanaa, sina mizaha na kazi
(yes)
zao la adili chapakazi
staki mambo ya kuwa busy huku sij-pata kazi
zao la mangwair east zoo
ku’switch ni easy, usidhani style ni hizi tu
zao la a.y, commercial nakidhi tu
zao la nako pia la binamu, usidhani na’bang machizi tu
zao la saigon, sinza oi oi
kibongo, kinyamwenga kipi utanishinda goi goi?
mtetezi wa wanyonge, zao la langa
fikra chanya na nzito tofauti na zao la pamba

[chorus:]
fikra ni vazi la rap
(zao)
nipo kuikinga hiphop kama ngao
waliotangulia wamefanya sehemu yao
tumejifunza kwao, tuwape heshima yao
fikra ni vazi la rap
(zao)
nipo kuikinga hiphop kama ngao
waliotangulia wamefanya sehemu yao
tumejifunza kwao, tuwape heshima yao

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...