letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de 24/7 - fivara

Loading...

ishirini na nne saba “24/7” fivara

[translation]

[intro:]
yeah, yeah
touch music, mikono ya kazi, fiva

[verse 1:]
asubuhi kudamka, pale siku inapoanza
iwepo menu mezani, ndo jinsi ninavyowaza
kiingie kitu kinywani, jua linapozama
sema nakuja kukereka, nikijua jitu linalobana
tunapambana, mchana kutwa tunabana
tunagombana, kwenye kutafuta tunakwazana
muda mali sana, utafika mbali bwana
sekunde, dakika , masaa vyote jali mwana
ishi leo, waza kesho, tafakari jana
maisha ya sasa mida mibovu, afadhali jana
kuepuka lawama, fanya dakika sifuri
umetimba kwenye mishe, usijekufika kivuli
tunapotofautiana, ni kutumia muda vizuri
kushtuka ni ukuta, tunashindwa ruka vizuri
nenda sambamba na mishale, acha kiburi
saa ishirini na, ukizubaa zitachacha bakuli

[chorus:]
saa ishirini na nne, ndani ya siku saba
huku na kule mwendo wa kazi na ibada
yani usipime, kila siku kaza
mambo yatajipa hakuna kuwaza
saa ishirni na nne, ndani ya siku saba
huku na kule mwendo wa kazi na ibada
yani usipime, kila siku kaza
mambo yatajipa hakuna kuwaza

[verse 2:]
jumatatu, mambo yote yanaanza rasmi
watu vimeo vya ijumaa, wanafanya tathmini
ikapewa jina la utani, “blue monday”
siku ya -ssemble jamani, “mguu pande”
majuk-mu yanaendelea, huku watu wajipange
kesho jumanne, kamba za viatu wazikaze
mwendo ule ule, j’tano damu usilaze
piga kazi, wikendi kwenye fahamu usiwaze
alhamisi nayo, ni siku ya mikiki
ya kazi ya nne, kwenye hizi siku za wiki
babeli akadiriki, kuifanya wikendi
wanogewe na starehe, wapunguze kufanya mishe
ijumaa tena kazini, adhuhuri kuswali
kwa ndugu zetu waislamu, ni vizuri kujali
jumamosi , jumapili hizi siku za kusali
kwa wasabato na wakristo, j-po wengine za ku’party

[chorus:]
saa ishirini na nne, ndani ya siku saba
huku na kule mwendo wa kazi na ibada
yani usipime, kila siku kaza
mambo yatajipa hakuna kuwaza
saa ishirni na nne, ndani ya siku saba
huku na kule mwendo wa kazi na ibada
yani usipime, kila siku kaza
mambo yatajipa hakuna kuwaza

[bridge:]
anhaa twenty four seven, tunahaso
saa ishirini na nne, siku saba
(we keep it)

[chorus:]
saa ishirini na nne, ndani ya siku saba
huku na kule mwendo wa kazi na ibada
yani usipime, kila siku kaza
mambo yatajipa hakuna kuwaza
saa ishirni na nne, ndani ya siku saba
huku na kule mwendo wa kazi na ibada
yani usipime, kila siku kaza
mambo yatajipa hakuna kuwaza

[outro:]
to all my hustlers out there, keep the grind on

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...