letra de kerewa - fitzon dai
intro:
fitzon dai beiby
aaah…
you know what it is..
ahhh
verse 1;
ninachapa kama font ya bowl,hata wakibonga bado mimi na gouwo
sooner nitapata madooh,life nibadili kama nzi kwa choouwo
check one you know,if you wanna know
am the one who know,you fill it more (more)
usijali wee endelea ku go (go)
mungu atakubariki na more (more)
ila ukiwa na chuki uta low ( low)
juu maisha ni kuhumble,mwendo wa taratibu yaani utafika ngambo
mola kashapanga,maisha kupambana
usiku na mchana,utayapita ya ujana
na maji yakizidi,subiri ya uzee
na bahati ikipita,mwezi huu je?
na ukizidi kunicheka,ndio baraka za ongezeka..
chorus;
kerewa,kerewa shaku
kerewa, kerewa papa
kerewa,kerewa socco
zagazaga za ndoli x2
dance kide,dance kide,dance kide
move your body..
dance kide, dance kide,dance kide
roll your body..
dance kide,dance kide,dance kide
shake your body..x2
verse 2
si una juu juu fat in the bobo
hata iwa cost mi na fight kugain more more
si wana beef watabaki kuwa toto
usiku nikipita nitawacheki kama popo
ile design ya kupita nao
kuwatimulia vumbi kama mat za rongai
hii game ya kucheza loto,ufikiri mbona nilibaiwa kandai
ah, mapopo si ni mapopo,atukuwai jua kama itakuwa ndoto
na suu ju mungu yupo,hata kwa wale wote tuliwapoteza
na shu-judu wito,juu mungu w-ngu amenifanya niwe vimba..
we taste it in dish on the beach
we call beast,the wrong they preach
in form six,the way they teach
and that’s why we clinch on the tree x2
chorus;
kerewa,kerewa shaku
kerewa, kerewa papa
kerewa,kerewa socco
zagazaga za ndoli x2
dance kide,dance kide,dance kide
move your body..
dance kide, dance kide,dance kide
roll your body..
dance kide,dance kide,dance kide
shake your body..x2
outro;
fitzon dai beiby
the changamka starz music
endever cla$$ic
yeahh
letras aleatórias
- letra de caroling - fitz and the tantrums
- letra de това беше (tova beshe) - igra na dumi
- letra de fallen through (bonus track) - jimmy casey
- letra de loneliness - hardwell & djs from mars
- letra de muy tarde - nivel & jose mejia
- letra de please come back to me - ryan caraveo
- letra de bounce (bounce) - fatty koo
- letra de push and pull - jeuse kastoan
- letra de black stallion - goddess of victory: nikke
- letra de so far, so good - tampa red