letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de nyota ya mchezo - fid q

Loading...

[intro: doreen & fid q]
[drop]
wewe ni staa, staa
mimi ni staa, staa
kila mtu ni staa, uh-huh, staa, staa
ah, ah
lakini si wote wana nyota ya mchezo

[verse 1: fid q]
[?] juta kuitwa supastaa, unaweza ukapigwa chupa ‘baa
kisa ulipepesuka ukajikuta umemgusa huyu jamaa
hakuna mchumba [?] amekaa na mchizi
sio lango la jiji, sehemu nyingi tu hutokea musician kazua balaa
wala sio chuki binafsi, hatujui wapi tunakwenda
tunatumika ili uwa touch mabwana zao walio watenda
kidume anaweza m-cheat demu wakati ashamkabidhi moyo wake
anaweza penda game ghafla akachukia player wake
usitumie fame kama fimbo kuwachapia wanawake
utachukiwa kila sehemu ‘na pia [?] watu
ugomvi unaweza kupa jina lakini haukupi heshima
sana watakuona mkorofi na mashavu watakunyima
watakuzima ili usiskike, utanuna kama mtoto wa kike
utavimba, utapasuka, utatafuta raia uwapige
mwisho wake unaweza pata murder-case
kisa umetajwa kwenye versе
k-mbuka huu ni muziki ‘na wadosi ndio wazee wa mnada, [eti]
[chorus: doreen & fid q]
[drop]
wewe ni staa, staa
mimi ni staa, staa
kila mtu ni staa, uh-huh, staa, staa
ah, ah
lakini si wotе wana nyota ya mchezo
[drop]
wewe ni staa, staa
mimi ni staa, staa
kila mtu ni staa, uh-huh, staa, staa
ah, ah
lakini si wote wana nyota ya mchezo

[verse 2]
hata mbalamwezi haing’ai bila kuch0m-za
mkono ukiumia, mdomo fasta huja kuupooza
mdomo ukiumia mkono huja kuupangusa tu, kama ujashuka bado uko juu k-mbuka sio unasusa tu
vigumu kuwa fid q ‘mi sio ndumu, unaweza vuta tu
wasamehe ‘wanaokuchukia sababu unavaa vizuri
usiitenge familia kabla hawajakuchimbia kaburi
mpende mwanao, mpende na mke wako pia, ‘mheshimu, usimkate stimu sababu ya viruka njia
wengi washachumbia waoe, lakini wazazi wakagoma ili binti wao apone, wewe msanii utamuua kwa ngoma
what a job is this? (what a job is this)
lakini ndio kazi aliyoichagua
leo nafanya interview na waandishi kesho wananiua
hawaandiki kama nilivyoongea ‘utahisi kama wanakuonea
[?] diss [kwani] utapotea
wadaku kote wameshaenea
maisha ni sanaa, ni vyema uka take care
kila mtu ni staa, ‘kama zavara au kubenea
[chorus: doreen & fid q]
[drop]
wewe ni staa, staa
mimi ni staa, staa
kila mtu ni staa, uh-huh, staa, staa
ah, ah
lakini si wote wana nyota ya mchezo
[drop]
wewe ni staa, staa
mimi ni staa, staa
kila mtu ni staa, uh-huh, staa, staa
ah, ah
lakini si wote wana nyota ya mchezo

[verse 3]
hatuwezi kuwa kamili bila [ukionja] majaribu
wezi walioniibia mashairi, ngosha sipo nao karibu (karibu)
hakuna [?] bila mawe
hakuna nyama bila mfupa
ukitia pua ‘kwenye maji, kidevu nacho kitayagusa
tunazaliwa, tunalia, siku ya kufa tunajua ni kwanini
ukisubiri urithi wa viatu, utatembea mpeku mjini
tunashindwa kuwa control wadau kama hali ya hewa
tunafanya show kwa kiasi kidogo cha pesa tunachopewa
najiona mwenyewe utadhani naishi nyumba ya vioo
bila noma tu ‘namuaga ndugu baada ya kuhama home
kusingekuwa na giza ‘je, tungezijua nyota?
ushajiuliza bila jesus, wakristo w-ngapi w-ngeokoka
macho yangu hayana pazia (zia)
uhuru w-ngu unaishia (shia)
pua yangu ina pazia, zingatia niliyo kuambia (mbia)
waheshimu waliokuzaa, ‘usiwa tweet kama mashabiki
wak-mbuke walio kusapoti kabla hujaanza kuwaita wanafiki
[chorus: doreen & fid q]
[drop]
wewe ni staa, staa
mimi ni staa, staa
kila mtu ni staa, uh-huh, staa, staa
ah, ah
lakini si wote wana nyota ya mchezo
[drop]
wewe ni staa, staa
mimi ni staa, staa
kila mtu ni staa, uh-huh, staa, staa
ah, ah
lakini si wote wana nyota ya mchezo

[outro: doreen]
wewe ni staa
mimi ni staa
kila mtu ni staa (ni staa)
ah, ah
lakini si wote wana nyota ya mchezo

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...