letra de mama - fid q
[intro]
mama don’t cry
oh my god, i wish hii nyimbo ingekuwa ina beti tatu hivi, nne, you know
anyways, it is what it is
mama don’t cry
[chorus: bizzman]
mama acha kulia tuliza mawazo
kila kitu kina mwanzo na mwisho
furaha itarudi tumuombe mola
mama acha kulia tuliza mawazo
[verse 1: fid q]
praise the lord, amen!
naomba uzidi k-mbariki aliyenizaa mi brave man
najuwa (?) struggle inanijua ka k-nan
maisha ni zaidi ya wingi wa miaka ya uhai wa duniani
nakupenda, nakuheshimu, nakuona wewe ndio (?)
ndio maana tuna pop kama blog na michuzi
na sio kila anae nichekea umaanishi ananipenda pia
dunia ni nzuri, walimwengu sio’ uliniambia
wengine hukuchukia kwa vyote tu hata vilivyo sawa
maneno’ yangekuwa mkuki zamani mimi ningeuawa
umenipa elimu’ nimepata nguvu za fikra
na moyo wa ku- hustle ka wa nako 2 nako, ibrah
maisha marefu namuomba mungu akujalie
kwa ukarimu ulionitendea sijui kipi nikufanyie
nikikutazama usoni, moyoni najivunia
adhabu ya kunichapa viboko utotoni ili nisaidia
kutilia mkazo jambo yakini’ kuwa makini
wenzangu kuwaelewa na isitoshe pia kuwa jali
nisipende ku (?) binadamu akikosea nikubali’ kwa sababu ajali hubeba hadi mwenye tahadhari
[chorus]
mama acha kulia tuliza mawazo
kila kitu kina mwanzo na mwisho
furaha itarudi tumuombe mola
mama acha kulia tuliza mawazo
[verse 2]
mama yangu wewe ni nguzo maishani mw-ngu
taa imulikayo mbele yangu’ daima milele
eh, eh, eh, eh
sometimes nashindwa kuamini jinsi haya maisha yalivyo change
hadi nashindwa kuamini palipo na macho ya wengi
ushujaa hauji tu kwa kusimama imara au kwa kuwa ni wa kwanza kuamka pia ni mwisho kulala
no!
furaha ya kweli ni ile yenye amani ya bwana
unaeza tafuta ukakosa, bila kutafuta ukapata sana
muda wa majonzi, kuna muda wa kusherekea, muda wa kukaa kimya, muda wa kuongea, muda wa kufuta machozi, muda wa kucheka, muda wa kuchukia, muda wa kupenda
ulinifunza kuhusu quran ukanifunza na bible
ukanikabidhi vitabu kibao ili nisikae idle
kisha ukanipa uhuru nifanye ninachojiskia
mafunzo nishafaulu maamuzi yasivunje sheria
unashangaa, mwanza mwanza (mwanza)
vipi nachana sana’ huwaga nawajibu ya kwamba, “i got it from my mom”
[chorus]
mama acha kulia tuliza mawazo
kila kitu kina mwanzo na mwisho
furaha itarudi tumuombe mola
mama acha kulia tuliza mawazo
[outro]
mama, thank you for being such a beautiful thing
you’re such an inspiration for me
thank you for making me one of your heroes, you know
nakuita wewe ni mwanamke wa shoka coz uliamua kukomaa na mimi for a better or worse
na mambo yalikuwa magumu pale papa alipo ondoka, so, iko wazi most of us have never lived a normal (times?) si unajuwa?
love is sweet, sunshine but more into life for only darkness go (?) with strife
kwahiyo basi i do not call for a life of grim sacrifice
i ask you to join in a high adventure, one as rich as humanity itself
and exciting as the times we live in
i love you, mama
letras aleatórias
- letra de red horse - txmiyama feat. mikz
- letra de rambo - wilmer roberts
- letra de here to stay - easy mccoy
- letra de притяжение (attraction) - ploho
- letra de город (city) - шинкаку (shinkaku)
- letra de мастер маргарит - dmitry kravchenko
- letra de i'm so blue and you are too (7" edit) - barry white
- letra de heart of an artist - will ryan (iris official)
- letra de 映画 (film) - 神聖かまってちゃん (shinsei kamattechan)
- letra de victorious - irene pluym