letra de kila siku - fid q
[intro: phone conversation between fid q and qj]
[drop]
[verse 1]
sio yule akili kisoda, nguvu kontena
huyu ni jeshi la mtu mmoja, ndio vile narudi tena
tangu nazaliwa, ‘i claim to be the best lyricist
hawataki beef, sasa wanataka publicity
(yeah)
kugonga copy inabidi uwe [? normal less]
siogopi mdosi, siogopi wenzake industrial politricks
…
gwiji ndio mi
the most dangerous ’emcee mwanamalundi
so when the chiefdom come, i’m ready
haina kwere, ugali nnao kula sio wa kengele
you gotta love it or leave it alone
mistari yao, siijui’ lakini ya kw-ngu wana-flow
wanai-flow kwa moyo, inawakosha kwenye roho, oh
i push my rhymes like a pimp push a hoe
mi ndio ngosha ze don, man
rock city, stand up!
(aye)
i’m high like blue skies and stars are aligned up
bado nafanya muziki, jina lin-z-di kukua
sio tu mashariki, afrika, ‘dunia nzima inanijua
fid q ‘ni farid, lakini sio kila farid ni fid q
utajiri wa mashairi, naamini ni w-ngu mimi tu
so, (so) if, (if) ‘you tryna competе (‘pete)
you (you) bettеr be critical good
(ooh, ooh)
sikiliza hizi flow juu ya beat ya marco-chali
zina round kama [?] ni kali
[chorus]
[drop]
mimi sijali
ndio maana ‘kila siku na fight
[drop]
mimi sijali
woah, oh
[verse 2]
rapper [gabachori] inamuuma, ‘ushkaji sitaki
(mmm)
huku nyangema mbeba vyuma, ‘anajaribu kuwa tupac
(yeah, yeah)
leo ndio ile kesho ‘you worried about yesterday
unataka kuwa the next notorious, cause’ big is dead
(woo…)
i’m here to preach, teach, motivate and entertain
maasai ananiita [olegana]
[?]
mashairi yanawapiga ka bruce lee au jackie chan
nafanya dharau iniheshimu, see’ i’m lucky, man
(aight)
fid q ‘sio jina tu, ni bidhaa kama pepsi
ni zaidi ya hivi vina, ukisikia vipo kila verse
for [god’s sake] wadau husema nafaa kwa endors-m-nt
benevolent, ‘man
rhymes tamu zaidi ya hot cake
nahitaji shades sababu future iko so bright
najua industry [?] careers that don’t last
ngosha nipo conscious, ‘nipo, nipo kama [?]
every day nipo focused na hip-hop, sio “hey baby”
it’s alright, it’s okay
jing’ate pua yako, kama unaweza vyote
kama muziki ni kitanda kidogo nitalala katikati
vijiwe vya siku hizi havichangamki bila kuji-search
[chorus]
[drop]
mimi sijali
ndio maana ‘kila siku na fight
[drop]
mimi sijali
[drop]
ndo maana ‘kila siku na fight
woo, woo
[phone conversation continues on between fid q and qj]
letras aleatórias
- letra de führerin puolesta - hassisen kone
- letra de godsend - bry
- letra de substance - wiinston
- letra de as the world turns (og original version) - 2pac
- letra de majo ni naritai hime to hime ni naritai majo no rhapsody - maaya uchida
- letra de balsa wood bones - saint motel
- letra de body and soul - teddy geiger
- letra de coolaid - dziarma
- letra de interrogation song - the muppets
- letra de logic - the produca