letra de 16. mafanikio - fid q
[intro: barakah the prince]
kila mtu anataka mafanikio
[verse 1: fid q]
kujisikia nipo juu mie sitaki hizo deals
sipendi makuu hivyo nitabaki kuwa real
na kila track ya q aaah, . ni wazi utaifeel
ni wazi iko full aah mzazi ninak!ll
ninamwagika kama masika
ninaheshimika na sio kanjibai
kwa huu mziki wa bajaji
hadi kwa washkaji wenye macadillac
unawashika ile kibabylon
unauzika sana maghetoni
ilimradi tu wawe happy more
midadi tu ila party no
mkisinzia mtaniudhi nishawapa vyeo
tuwape wapuuzi waliodai hii haiuzi haya matokeo
safari ni hatua, kufika inabidi uianze
haina kukita au kusita, inabidi ukaze
ingia, ongoza au fuata njia, kukimbia ni mwiko
kuanzia ulipo sio sawa na kubakia ulipo
nikisema ‘chini hapana’ nina maana fanya unyanyuke
na ukiamini umesimama mwana. komaa usianguke
ukijituma na neema inakaribia
nyuma walio-give up mapema w-ngekaza w-ngeifikia
penye… happy, jitusu, unafki usiuruhusu
yajue ya kuzingatia ili uachane na yasiyokuhusu
kibongobongo longolongo shazi
endelea kusaka mchongo hata ukipata kazi
[chorus; barakah the prince]
tunachukiana? ndio
ila sio sababu kuacha riadha ya mafanikio
ongeza mbio
sababu kila mtu, kila kona anasaka mafanikio
haukungoji wakati. ooh wewe
zinapita nyakati.ooh wewe
muda wako bahati. oh wewe
[verse 2; fid q]
na kughairisha kisa haupati sapoti
ni kujificha na kuuliza giza
iko wapi ile tochi?
haupati ile noti
na wakati wa ule uboss ushapotea
hautaki ukose? usiache ofcoz endelea
utafanikiwa kwa unachojua au unachofanya
wachache ndio hutusua kwa jinsi tu wanavyoonekana
mafanikio hayaji ukikata tamaa
yenyewe huwafuata wanaojituma
na wale wasiosuk-mwa na njaa
sipigi kila dili mipaka imezingatiwa
sitaki kuwa tajiri ninataka kufanikiwa
ili kuheshimiwa kwanza ni lazima ujiheshimu
lakini kufanikiwa ni maujanja tu sio lazima elimu
ili kuyadaka wengine hugeuka wabaya
mafanikio kwenye kuyasaka wengine hugeuka malaya
hugeuka was(i)o haya
kutwa utawakuta kwa babu
na anayefanya mambo ya maana
huwa hana muda wa kuyahesabu
kwenye kuyasaka hakikisha haufilisiki
haupotezi maisha au vile vitu havinunuliki
sio kama hatucheki kwasababu tumezeeka?
nope, ni tunazeeka kwasababu hatujawahi cheka
[chorus; barakah the prince]
tunachukiana? ndio
ila sio sababu kuacha riadha ya mafanikio
ongeza mbio
sababu kila mtu, kila kona anasaka mafanikio
haukungoji wakati. ooh wewe
zinapita nyakati.ooh wewe
muda wako bahati. oh wewe
utumie basi… eeeh eeeh
[outro; barakah the prince]
una mpenzi (na) uko lonely?
im sorry ndugu. haujafanikiwa
maisha ni kama boli, magoli ndio kufanikiwa
oooh ooh oooh.oooh. ndio kufanikiwa
kila mtu anataka mafanikio…
hhhmmm. hhhhmmm. oh mafanikio
oh mafanikio
kila mtu anataka mafanikio
letras aleatórias
- letra de garotas amam ludmilla - jé santiago
- letra de le sirene - murubutu
- letra de lyrics - kehlani
- letra de thir$ty - jay rick$
- letra de steve got robbed - swmrs
- letra de кентервиль (canterville) - xvtt
- letra de livet är underbart - vit päls
- letra de outro ( imagine that ) - yung uno
- letra de little child 2 - sinsemilia
- letra de 22 (over s∞∞n) [bob moose extended cab version] - bon iver