letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de jahazi - ferooz

Loading...

[intro]
daz nundaz
daz nundaz
daz nundaz
yeah
daz nundaz
yeah, yeah

[verse 1: ferooz & daz baba, chupa]
jahazi lina vichwa vitano
scout jentaz ikiwa kwenye msongamano
jahazi lina vichwa vitano
scout jentaz ikiwa kwenye msongamano
critic ‘kiongozi wa daz nundaz
ferooz, daz baba na la rumba
wananiita chupa, napiga sana mchupa (sajo, sajo)
na blaze nashtuka
wanamuita chupa, anapiga sana mchupa
ana blaze anashtuka
mimi ndio chupa kachaa ukitaka nitafute bar, ah
nani anashangaa?

[chorus]
hili jahazi la daz
hili jahazi la daz
hili jahazi la daz (?) limetoka pwani
wajinga, wajinga ‘bado tunawapa tafrani
(?) sasa hewani, starehe mbele dukani
scout jentaz ikiwa kwenye msongamano
chombo kinasongeshwa na ma captain watano
scout jentaz ikiwa kwenye msongamano
chombo kinasongeshwa na ma captain watano
[verse 2: daz baba]
time after time
nabadilika [mwalimu]
na ubeti na mizani
ndio silaha zetu za rhymes
tumepakazwa damu wakati hatujamwaga damu
kama mauzo yameshafika platinums
asa vipi wajinga, wajinga ‘wanataka kutudhulumu?

[verse 3: la rumba]
na ni vigumu kuutenganisha mfupa na fisi
ikiwa kama sisi waasisi
daz nunda ndio sisi
uh-huh
ndani ya 2,0,0,4
kama hivyo tunawahi, tuna go
kama unakuja, njoo
sikia jo, ni kawaida kushinda sisi hatutoi draw (yes, yes, yes)
wanaotughasi, wanaotuasi
tusiw-ngojee, tuendelee
hadhi hazipotei, shukrani zimwendee
manani aliye pekee, uh
tusimhuk-mu mtu yeyote kati yetu
msimshutumu hata prodyuza wetu (majani)
uh, uh
yo, love and peace
ndio itikadi zetu hata kwa wanaotu-diss, peace
[chorus]
hili jahazi la daz
hili jahazi la daz
hili jahazi la daz (?) limetoka pwani
wajinga, wajinga ‘bado tunawapa tafrani
(?) sasa hewani, starehe mbele dukani
scout jentaz ikiwa kwenye msongamano
chombo kinasongeshwa na ma captain watano
scout jentaz ikiwa kwenye msongamano
chombo kinasongeshwa na ma captain watano
[verse 4: ferooz]
jahazi litafika kwa uwezo wa labuka
hey, hey, hey
hey, hey, hey
naamini litafika kwa uwezo wa labuka
hilo ndio tumaini letu everyday
[(?) zuka, tukaliruka]
majani na mika wanak-mbuka

[hook]
daz nundaz
daz nundaz
daz nundaz
jahazi la
daz nundaz
aah, aaah, aaah
aah, aaah, aaah
usijaribu kuukimbiza upepo oh, utaumbuka
mwisho wako leo wenzako tupo hadi kesho
nenda ndugu utatukuta
(sajo, sajo)
[verse 4: sajo]
sajo nakiri, subiri santuri ya pili
wenye umahiri na ubunifu wa mashairi (check)
wait bab ‘mistari sio feki
tuliza (?) tukashusha (?) moto jet, jet, jet
yes, ‘tunavyo ishi ni zaidi ya mapacha
na kutengana ni ndoto za alinacha
hili ni-
hili ni jahazi la daz

[chorus]
hili jahazi la daz
hili jahazi la daz
hili jahazi la daz (?) limetoka pwani
wajinga, wajinga ‘bado tunawapa tafrani
(?) sasa hewani, starehe mbele dukani
scout jentaz ikiwa kwenye msongamano
chombo kinasongeshwa na ma captain watano
scout jentaz ikiwa kwenye msongamano
chombo kinasongeshwa na ma captain watano

(instrumentals)

[outro]
(daz nundaz)
daz nunda
(daz nundaz)
daz nunda, jahazi la daz nundaz

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...