letra de staki - femi one
[intro]
(kaka empire, is the lifestyle)
yeah
femi uno
haah, yoh!
[chorus: domani mkadinali, femi one, both]
hii clique ni ya wanati (skrr skrr), hunipati
wallahi aki, unaezadhani ni illuminati, wapi?
staki na staki, staki na staki, staki na staki (staki na staki)
staki na staki staki na staki staki na staki na staki na staki
staki na staki (staki na staki)
staki na staki, hmm mmh, wapi?
staki na staki, staki na staki
(man a bonefire, man a bonefire, man a bonefire)
staki na—, staki na—
[verse 1: femi one]
uh, ambia boy fisi simtaki, hio time akupee siko ithaa
maboy wanareverse kwa maparking, ye ni calls kureverse kila saa
femi one their mum their auntie, nliwashow hao ma emcee nimewazaa
nditni kwa mra’ niko active, sina time ya kulink na mang’am
mi staki—
staki na staki drama na nuks, hunipati staki mamoods
kama si mali kama si ganji niko jumanji, niko kwa woods
n-gga ni tragic pedi wa nudes, imagine, h-ll of a dude
telegram chattin’, hawker wa ngwati, broker wa dhambi simp wa mab00bs
ka staki staki, kwani ni lazma, mbona unaforce?
mans alipigwa stopper dm akajam ka spread on toast
i guess nilishrink his ego, left him on read and he had some hopes
clique ni savage, clique ni rong, hii clique ni clique ni clique ni—
[chorus: domani mkadinali, femi one, both]
hii clique ni ya wanati (skrr skrr), hunipati
wallahi aki, unaezadhani ni illuminati, wapi?
staki na staki, staki na staki, staki na staki (staki na staki)
staki na staki staki na staki staki na staki na staki na staki
staki na staki—
staki na staki, hmm mmh, wapi?
staki na staki, staki na staki
(man a bonefire, man a bonefire, man a bonefire)
[verse 2: femi one]
hii clique ni ya wa bobo shanti, always sk-nkin’, jobless party
alivuta foreign na ulafi akacheki mw-ngaza kama kamlesh pattni
life ni walala, view ni ya branba, staki na staki blunt umelamba, staki na—
at times ilibamba then akaanza feelings vibe ikaishanga
staki na staki, stamina energy, kama ni mbwakni, staki na—
whatsapp groups hunipati, i don’t correlate na umati, staki na—
alibonga reckless mneti hata sikureact, zero pressure sikuw-ngi na time
time ya mambleina sipati, wallahi aki, mshow akae mbali na—
atm limit ni maximum, mteja wa nambari hapatikan—
wako roamin’ ka padre wa vatican, ngoma hazipop tunatambua ni pandisa
clique ya mapagan, clique ya warazi, staki na staki kuinteract na madwanzi
tuko maendeavor, mamradi, clique ya mapeng hii ni clique ya mabaddie
[chorus: domani mkadinali]
hii clique ni ya wanati (skrr skrr), hunipati
wallahi aki, unaezadhani ni illuminati, wapi?
staki na staki, staki na staki, staki na staki
staki na staki staki na staki staki na staki na staki na staki
staki na staki—
staki na staki, hmm mmh, wapi?
staki na staki, staki na staki
(man a bonefire, man a bonefire, man a bonefire)
letras aleatórias
- letra de mayday - ryan cassata
- letra de cry on my bed - andhika dewa
- letra de nothing without you - kim ji soo
- letra de パラダイス (paradise) - ken the 390
- letra de most freeze - вино [prod. anyproblems ]
- letra de thicc tok thottie - alixsep
- letra de focus - lloyd nicks
- letra de gettin it - trillville
- letra de give me jesus - canyon worship
- letra de gallardo - yung shame