letra de okay - femi one
verse 1
usipunguze joto wacha moto ifanye kazi
shuguli ka imejipa piga pamba pasi
rende kwa senke ni mwendo kasi
ukipatikana rong side blanda basi
panga inapapasaa shingo
kata ego ama utakatwa shingo
ukibleki unaeza nyang’anywa figo
kuna donga nairobi anakundingo
jungle simiti unaexpect?
ka bei yangu haufiki haunirespect !
unaniobjectify na kuobject
nakuset up nakuoff ka niko onset
hook
ruthless kama cynthia
kuna face flani hatuonyeshangia media
get power kila mtu atakusimpia
bado ikipotea same pase watakukimbia
go
kipchoge mpaka ni choke
keep balling labda nisote
hii ni kenya lazma tukope
i’m okay ka poke ni okay
hiyo ndio foreplay
so siwezi complain
niko mboka, shift long day
hii ni kenya lazima tukope
but i’m okay ka poke ni okay
verse 2
ka unaeza adapt ndo utasurvive
we dead walker ama uko alive
unastrive ama life inakupipe
unajilike ama likes zinakuhype
screen light unalenga daylight
health wise direction ni haywire
worth naiongeza percent higher
bila haya unaeza jenga empire
so najitokeza ka kiwi ni shine
we utanijudge me ndio najidefine
destiny set mungu ndio alidesign
usiniweke kwa box me ngumu kuconfine
freedom ya paul na sila, me bado sinner
nasafisha mwlili nikijenga jina
niko ithaa ya milli ya wajinga sina
mpaka ikue mingi nibandikwe cleaner
letras aleatórias
- letra de this village - reks
- letra de quisiera no existir - comando apolo
- letra de für mama - tighty
- letra de time will tell - ericthechosen
- letra de трение freestyle (feat. volt) - oliver tenn
- letra de i love you - splashii
- letra de insegura - felix de orós
- letra de узел - atungiiq
- letra de der letzte schluck der flasche vs. das glück der welt - tigeryouth
- letra de stressing - ian michael