letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de levels - ezzy skillz

Loading...

intro:
yeah…
(mikono….. ey yo lutiz)
levels beyb … it’s going down now… hey… what!
(let’s go…let’s go yeah..)-2

chorus:
waambie wenzako me syo levels zao/
level zangu za moto na si kama zao/
niko vizuri kila sector nawapiga bao/
waambie…waambie…wafikishie habari/-2

verse i
wapo walonikunjia…lengo lao nisiskike/
wakaziba njia…napokwenda nisifike/
sikuwazingatia…walotaka wanishushe/
nikaongeza nia…hatua dua kila mishe/
and now sina pressure…wengine nshawateka/
wanaaminia kila mdundo me verse naweka/
hizi karateka…-rs-nal wenger na mkeka/
syo kuchana sana tu me nataka hizo pepa/
hii syo vita ya paka na panya/
hater hupenda vile me hufanya/
niko vizuri na bado sijajulikana/
waambie presenters waweke mtazamo chanya/

lyrical i’m good, voco i’m good/
flows niko good…usinchanganyie yangu mood/
okay leta kusudi…kuvimba sina
budi…unpredictable g*nius real to my hood/

chorus:
waambie wenzako me syo levels zao/
level zangu za moto na si kama zao/
niko vizuri kila sector nawapiga bao/
waambie…waambie…wafikishie habari/-2

verse ii
and these goes to all the fake out there/
nawajua..hata hii ngoma hamtoshare/
f-ck it..i live my life motherf-cker i don’t care/
and one day you all gonna see me up there/
waambie wenzako wasije wakanipima…
level za moto usio zima/
flows nyingi nimejaza contena zima…
utanieleza nini weh kima/

when i be fair…n-ggas take me for granted/
they don’t even care…for god’s sake/
napotokea happy birthday hakuna cake/
sina muda wa kufake…

lyrical i’m good, voco i’m good/
flows niko good…usinchanganyie yangu mood/
okay leta kusudi…kuvimba sina budi…unpredictable g*nius real to my hood/

chorus:
waambie wenzako me syo levels zao/
level zangu za moto na si kama zao/
niko vizuri kila sector nawapiga bao/
waambie…waambie…wafikishie habari/-2

auto:
ezzy… teh heh
green city is on my shoulder and i ain’t got stop…
mbeya city we up ….we up yeah..
y’all never expect this coming right?
hey.. it’s going down yeah..
unpredictable g*nius
csm what… mikono music

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...