letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de yesu unaweza - eve bahati

Loading...

eeh yesu wewe unaweza yote mfalme
hakuna usiloliweza bwana
yesu unaweza messiah unaweza

yanayoonekana hayawezekani
baba unaweza yesu unawezaa
messiah unawezaa
yanayoonekana hayawezekani
baba unawezaa yesu eee

yesu unaweza messiah unaweza
yanayoonekana hayawezekani
baba unaweza yesu unawezaa
yesu unaweza messiah unaweza
yanayoonekana hayawezekani
baba unaweza

yesu unaweza
kuponya magonjwa sugu
yanayoonekana hayawezekani
baba unaweza
kisukari ugonjwa wa moyo eeh
saratani pia baba
yanayoonekana hayawezekani
baba unaweza
bwana uliwakomboa waisraeli
kutoka kwa pharaoh
yaliyoonekana hayawezekani
baba unaweza yesu eehee

yesu unaweza messiah unaweza
yanayoonekana hayawezekani
baba unaweza yesu unawezaa
yesu unaweza messiah unaweza
yanayoonekana hayawezekani
baba unaweza

bwana ni ngome yangu eeh
nimwogope nani mimi eeee
bwana ni ngome ya uzima w-ngu
ni muofu nani
waovu watakapo sogea dhidi yangu
ili waile nyama yangu ooh
sitaogopa maana wewe upamoja nami eh hata jeshi hii lisimame
linizunguke mimi baba sitaogopa
maana wewe upamoja nami
yesu eeh

yesu unaweza messiah unaweza
yanayoonekana hayawezekani
baba unaweza yesu unawezaa
yesu unaweza messiah unaweza
yanayoonekana hayawezekani
baba unaweza

yesu unaweza
yesu unaweza
unaweza yote
hallelujah we love you jesus
unastahili
moyo w-ngu moyo w-ngu weee
moyo w-ngu yesu eeh hautaogopa
wewe hutengeneza njia nyikani
moyo w-ngu yesu weee hautaogopa
wewe hufanya njia pasipo na njia
moyo w-ngu yesu wee hautaogopa
nipitiapo kwenye maji sitazama
moyo w-ngu weee yesu hautaogopa
katika mito haitanigharighisha
moyo w-ngu yesu weee hautaogopa
hata katika moto sitateketea
moyo w-ngu yesu weeee hautaogopa
moyo w-ngu yesu weee hautaogopa
sitaogopa chochote
sitaogopa weeee
uko pamoja nami mlinzi w-ngu mtetezi
oooh sitaogopa sitaogopa eeeh
moyo w-ngu weee yesu weee hautaogopa aaah
moyo w-ngu eeeh yesu eeeh hautaogopa aaah
moyo w-ngu eeeh yesu eeeh hautaogopa aaah

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...