letra de sifa - eunia simbagoye
sifa sifa sifa
na utukufu ni vyako
sifa sifa sifa
na utukufu ni vyako
bwana ni mwokozi w-ngu
bwana ni nulu yangu
bwana jehova jile
mimi ninakupenda
sifa sifa sifa
na utukufu ni vyako
sifa sifa sifa
na utukufu ni vyako
mimi ninak-mbuka
upendo wako wa ajabu
urimtowa mwana wako wapekee
kuja kuniokowa
sitachoka kukuimbia
mpaka siku ya mwisho
yesu nikuone
mungu wa nazareth
sifa sifa sifa (sifa zako baba)
na utukufu ni vyako(yesu)
sifa sifa sifa (sifa zako yesu)
na utukufu ni vyako
sifa sifa sifa( uuu sifa zako yesu)
na utukufu ni vyako
(oh)sifa sifa sifa (sifa zako yesu)
na utukufu ni vyako
tutaimba tutacheza tuki muona yesu
tukimuon’ alie tufia msalaba
tutaimba tutacheza tukimuona yesu
mataifa nayo yatakusanyika,
tutimba( wa china) tutacheza ( australia,) tukimuona yesu ( tanzania burundi na rwanda)
tutaimba (tutakusanyika) tutacheza (tukiimba) tukimuona yesu
ooh tutaimba!
tutaimba (uuuu) tutacheza tukimuona yesu
ooh tutaimba
tutaimba (tutacheza) tutacheza (hallelujah)tukimuona yesu
(oh tutaimba)tutaimba ( imba imba imba) tutacheza (tutacheza)tukimuona yesu
(oh tutacheza ) tutaimba “ oh” tutacheza tutacheza tukimuona yesu
ye ye ye ye tutaimba tutaimba tutacheza tutacheza kwafuraha tukimuona yesu
uuuu ye yeaaaaaa… uuuu
wo wo wo wo wo wo wo woooo
tutaimba, tutaimba, tukimuona
ooooh ye ye ye ye ye ye ye ye yesu….
tutakuimbiya… hallelujah!
letras aleatórias
- letra de mortal drones - a night in texas
- letra de eat my hands - you, me, and everyone we know
- letra de ready when you are - mathilda homer
- letra de historia chłopaka - młody siwek
- letra de predator - czn&j
- letra de cold streets - swag toof
- letra de submerso - toni brandão
- letra de sabotatge - manel
- letra de golden child pt.2 - teiji mack
- letra de dreckball - adolph gandhi