letra de figa - ethic entertainment
[intro: motif di don]
motif di don
[hook: rekles]
kwanza vile umejibebanga
mi hudai mi hudai
mi hupenda napenda
chako venye we huichezanga
mi hudai mi hudai
mi hupenda napenda
figa fire yaani dangerous
mi hudai mi hudai
mi hupenda napenda
fanya nafeel kama veteran
mi hudai mi hudai
mi hupenda napenda
ah, mi hupenda napenda (penda)
mi hupenda napenda (penda)
mi hupenda napenda (penda)
mi hupenda napenda (penda)
[verse 1: zilla]
ringi ndani ya goro
alafu akuwe solo
kwanza akiwa momo
buda namchongoa
macho zako ndogo chongo
mlami mboko mpaka usogo
dem akiwa campo anastone proper
alafu akiwa vajo anadondosa
pale down town na anadondosa
pale down, pale down, kudondosa
[hook: rekles]
kwanza vile umejibebanga
mi hudai mi hudai
mi hupenda napenda
chako venye we huichezanga
mi hudai mi hudai
mi hupenda napenda
figa fire yaani dangerous
mi hudai mi hudai
mi hupenda napenda
fanya nafeel kama veteran
mi hudai mi hudai
mi hupenda napenda
ah, mi hupenda napenda (penda)
mi hupenda napenda (penda)
mi hupenda napenda (penda)
mi hupenda napenda (penda)
[verse 2: seska]
niko kidalio shamba ntachuna mboga
leta jaza kwa chupa ya johnnie walker
mi natakia mayeng’ mula rieng’
n-z-chuna kama matiang’i
ni kunyanda upigwe mboka
kuk-manga kwa tools zangu za muguka
hakuna panya, so paka atakula nyoka
wakitaka kitanda niko na sofa
chapa chapa ukichapa naachia ngoma
[hook: rekles]
kwanza vile umejibebanga
mi hudai mi hudai
mi hupenda napenda
chako venye we huichezanga
mi hudai mi hudai
mi hupenda napenda
figa fire yaani dangerous
mi hudai mi hudai
mi hupenda napenda
fanya nafeel kama veteran
mi hudai mi hudai
mi hupenda napenda
ah, mi hupenda napenda (penda)
mi hupenda napenda (penda)
mi hupenda napenda (penda)
mi hupenda napenda (penda)
[verse 3: swat]
kwa mbulu, looku, washa kindukulu
come tu kejani nikupige ma viboko
pale instagram tunachachisha na kingoto
vile nawatesa mi napenda mangoko
mangoto, malocal
siko kwa mbosho, orosho
madiva zimebude na ni koro
kulamba mororo, fika ndono juu ya koto
vurugu kukaba kwa kina mahuru
[hook: rekles]
kwanza vile umejibebanga
mi hudai mi hudai
mi hupenda napenda
chako venye we huichezanga
mi hudai mi hudai
mi hupenda napenda
figa fire yaani dangerous
mi hudai mi hudai
mi hupenda napenda
fanya nafeel kama veteran
mi hudai mi hudai
mi hupenda napenda
ah, mi hupenda napenda (penda)
mi hupenda napenda (penda)
mi hupenda napenda (penda)
mi hupenda napenda (penda)
[outro: rekles]
mi hupenda napenda (penda)
mi hupenda napenda (penda)
mi hupenda napenda (penda)
mi hupenda napenda (penda)
letras aleatórias
- letra de redención - matraz
- letra de добрый я (good me) - soul (rus)
- letra de sleeping pills - mohidul tamim
- letra de mohamed salah | محمد صلاح - g. oka
- letra de tengo que llegar a tiempo - manuel medrano
- letra de midnight scenarios - humprey
- letra de trapped in da pu$y - yung beef
- letra de how sweet it is (to be loved by you) (live) - jerry garcia & merl saunders
- letra de one take - yung carti72
- letra de march towards a blackened sun (pt. i-iii) - inpathos