
letra de system ya majambazi - enkay ether
intro
the wording which is used
in that given article, learned council
if i may
if you look at the sovereignty of the people
it says that
all powers
all sovereign powers belong to the people of kenya
and shall be, underline the wording shall
mandatory
be exercised only in accordance with this constitution
the people may
optional
(forever)
pre-chorus
system ya majambazi
wezi wamejaa kwenye serikali
kenya tusipochunga itakunywa maji
walami wamerudi kutupora mali
kwani ni system ya majambazi
w-ngapi watakufa ndio tupewe haki?
wananchi wamekaliwa kama chapati
mbona watumaliza na marisasi?
chorus
tujiombee
mzalendo nisitishwe, nisiogope
tusimame, tuungane, tutokee
kenya ni yetu, waondoke
nami nawasihi tuongee
nchi tunaijenga mi na we
faida inatufaa mi na we
kwani kenya ni yetu, watutokee
(watutokee)
hook
system ya ma
kwani ni system ya ma
system ya ma
kwani ni system ya (majambazi)
system ya ma
kwani ni system ya ma
system ya ma
kwani ni
pre-chorus
system ya majambazi
wezi wamejaa kwenye serikali
kenya tusipochunga itakunywa maji
walami wamerudi kutupora mali
kwani ni system ya majambazi
w-ngapi watakufa ndio tupewe haki?
wananchi wamekaliwa kama chapati
mbona watumaliza na marisasi?
chorus
tujiombee
mzalendo nisitishwe, nisiogope
tusimame, tuungane, tutokee
kenya ni yetu, waondoke
nami nawasihi tuongee
nchi tunaijenga mi na we
faida inatufaa mi na we
kwani kenya ni yetu, watutokee
hook
system ya ma
kwani ni system ya ma
system ya ma
kwani ni system ya (majambazi)
system ya ma
kwani ni system ya ma
system ya ma
kwani ni system ya ma
letras aleatórias
- letra de you asked me to - jesse daniel
- letra de inside outside - josh northwood
- letra de nedensizce - barin
- letra de it's about who - nate kenyon
- letra de slide - sadhebroke
- letra de it is what t is - skenguh
- letra de sinkkuelämien carrie - silkinpehmee
- letra de chase them - zzile!
- letra de why i'm walkin' - buddy miller
- letra de hello, goodbye - stripe