letra de maria - ellisha james
it’s grand master
heey yeei yeee heey
maria maria
am in love
sina kitu bado mtaani nakomaa
ngojea nipate shavu
twende far
kilimanjaro au vacation zanzibar
maria maria baby
maria maria huuh
maria maria baby
maria maria huuh yeeh
unavyo tabasamu na hayo macho
navutiwa na kila kitu we uko nacho
nikienda mbali nak-mbuka soga zako
swaga zinawadatisha mpaka shoga zako
mnyama ukali kila mtoko
fashion model
am acting chilly
but you k!ll me on the low low
ume-stand out kama logo
donge nono
am so ice and i’m in love with my coco
maria maria baby
maria maria huuh
maria maria baby
maria maria huuh
music on repeat
fun retreat
kabla ya breakfast twende fitness
kisha milimani kurelief stress
together we get lit
take the lead
minding our business
nani wak-mjali we ndo mistress
nikubebe jujuu.
bubuu
haters tuwaangushe puu puu
we ndo yangu lulu
wish you
love me like the way that i do
maria maria baby
maria maria huuh
maria maria wewe
maria maria huuh
maria maria
am in love
sina kitu bado mtaani nakomaa
ngojea nipate shavu
twende far
kilimanjaro au vacation zanzibar
maria maria baby
maria maria huuh
maria maria yeeiyeeye
maria maria huuh
sijali wa ushuani ama uswazi
kwani kitu gani
nje uwa mapambo kitu ndani
sitaki uwe mzugaji
bora uwe mchungaji
bora niwe kondoo uwashangaze kuwa mfugaji
mpaka umenkaa kichwani
una kipaji
wengi uwakimbia sitambulishi hata washkaji
unavyonipa burudani
tamasha flani
homa ya jiji umenitoa mashakani
cjiwezi hasilani maneno ya kizamani
muhuni wa maskani umenizama mpaka ndani
uko matata kama flavy
break hapo hazikabi
fly kama rubani
makinika kwa usukani
maria maria
am in love
sina kitu bado mtaani nakomaa
ngojea nipate shavu
twende far
kilimanjaro au vacation zanzibar
maria maria baby
maria maria huuh
maria maria baby
maria maria huuh
letras aleatórias
- letra de holiday season - mason murphy
- letra de all the fucking time (acoustic) - loote
- letra de ya no mas amor - titán salguero
- letra de vacitos usados - al2 el aldeano
- letra de the border - chroma (@thecolorchroma)
- letra de rhymezone rappers - ashton mcphee
- letra de raindrops - xanman
- letra de slow reverse flox - high angle shot
- letra de bless a brand new angel - venus & mars
- letra de kalabar - pissragjones