letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de bei yake - ellisha james

Loading...

intro
heeeeee
ellishajamesssss
eeeeeh

verse 1

show kali ina bei yake
ngoma kali ina bei yake
chupa kali ina bei yake
na kushuka south kuna bei yake
pamba kali zina bei yake
utanashati una bei yake
kila gym ina bei yake
so usirushe stimu zina bei yake
mafuta sheli yana bei yake
leseni bima vina bei yake
kila tinga lina bei yake
huwezi shinda ucpolipa bei yake
basi show kali zina bei yake
flow kali zina bei yake
kubwa jina lina bei yake
maana kila vina vina bei yake
mboyoyo nyingi hazijengi ya hee
kila fundi ana bei yake
kila cku ina pay yake
si ndo kitu huomba better day mazee

hook

kila kitu kina bei yake
(kina bei yake). ×4

verse 2

uraiani kuna bei yake
ushuani kuna bei yake
ukapurwani kuna bei yake
ukinaswa hawakutetei ya hee
ucjiachie k-mejaa ukuda
marafiki wamejaa ujudas
uaminifu huleta jau budha
nakutoka ndani kuna dau kubwa
maana dem mkali ana bei yake
umentali una bei yake
ukikaa mtaani bei yake
tuu kungoja zali
utajikuta inakushinda bei yake
kila kitu kina bei yake
nywele kucha zina bei yake
topu skuna vina bei yake
mpaka pedo pusha zina bei yake
simu vocha zina bei yake
lunch dinner vina bei yake
burger, pizza zina bei yake
mpaka wine,bia vina bei yake

hook

verse 3
darasani kuna bei yake
maskani kuna bei yake
mahafali hayabadili hali juu kupata kazi kuna bei yake
akili mali bila sirikali
ngoja ngoja noma tindikali
hatufiki mbali bila speed kali
maisha mwendo kasi kama tuko rally
maana show kali ina bei yake
ngoma kali ina bei yake
chupa kali ina bei yake
na kushuka south kuna bei yake
basi show kali zina bei yake
flow kali zina bei yake
kubwa jina lina bei yake
maana kila vina vina bei yake
mboyoyo nyingi hazijengi ya hee
kila fundi ana bei yake
kila cku ina pay yake
si ndo kitu huomba better day mazee

hook

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...