
letra de baby mama - ellisha james
k-muona amenuna ni tsunami
chumbani unyumba, ukiuliza akaguna ni soo
sometimes kibunda ikibuma
kichuna anaukunja,akiamama kukicha ni soo
she got me singing oyoyo oyoyo
oyo yo yoooh -2
verse
that’s my baby mama
she is like full of drama
nikimkosea dakika mbili tatu tuu nshaungama -2
she is my life man i can’t live without her
iko vile kidesign ananitourcher
ile mida tuko fresh she is the finest i told you, maelezo yanajibeba ananitosha
anafanya maisha kama movie so i move with her
ananiweka juu ya mstari najirudisha
nafanya maisha kama movie so i move with her
ananiweka juu ya mstari…..
hook
k-muona amenuna ni tsunami
chumbani unyumba, ukiuliza akaguna ni soo
sometimes kibunda ikibuma
kichuna anaukunja,akiamama kukicha ni soo
she got me singing oyoyo oyoyo
oyo yo yoooh -2
letras aleatórias
- letra de racks - joecat
- letra de tha squeeze [edited] - gang starr
- letra de no cry - f430
- letra de evolver - corduroy
- letra de dractsopeht - the pancakes
- letra de innan vi faller - jonathan johansson
- letra de i swear to god - issam
- letra de старый номер (old number) - bodybm
- letra de london is a bitch - thunderbird gerard
- letra de my girl - seal