letra de mrembo - ego & wawesh mjanja
intro
angalia
angalia figa vile yuko, ngalia sura vile iko, angalia mbele vile yuko, angalia nyuma (mremboo)
mrembo nimekusaka toka zamo, kw-ngu wewe ndio nembo penzi lako ndio jambo
verse 1 (ego)
pendo baby girl njoo kw-ngu uwe w-ngu kila utakacho utapata kw-ngu, achana nao wote nimachangu, nimekusaka nakudata wewe,njo tuchezecheze nitalicheza zeze kila mtu anajua mimi wako wewe w-ngu,njoo baby nipe denda nakupenda, njoo baby danda dinga tunakwenda,wachana na wajinga wanajidai wanasema ati mimi sifungi tai,ngonzi yako nzuri rangi ya pai pai mohdy na dula wamevua walai
chorus
mrembo (nimekusaka toka zamo), kw-ngu wewe ndio (nembo) penzi lako ndio (jambo)
verse 2 (wawesh mjanja)
(oooyoooo) yeerah yeeraah shega pina mzooka kando niko shiiiiba itisha baby usiogope k-meiva eeh kasura yako pamoja na figa tamaa ya kukushika, urembo wako umeshinda umenimaliza, njoo karibu wacha ego atupige picha binti wacha nikuweke kwa fb gram ya insta uko twitter nikufuate unipate ka ka ka ka kakabisa si ngumu kupata ni ujagaja jagaja uliziza wazushi masela mi ni jagaja jagaja utaambiwa na utaambiwa ukishaambiwa eeee ee ushajua, manake
chorus
mrembo (nimekusaka toka zamo), kw-ngu wewe ndio (nembo) penzi lako ndio (jambo)
angalia figa vile yuko, ngalia sura vile iko, angalia mbele vile yuko, angalia nyuma
mrembo (nimekusaka toka zamo), kw-ngu wewe ndio (nembo) penzi lako ndio (jambo)
letras aleatórias
- letra de cloud - eagle sky
- letra de hyvää yötä - musta paraati
- letra de dirty xmas - celo minati
- letra de power gate - mizuki nana
- letra de blame - echos
- letra de siyamua - metta
- letra de the balance - vinayvvs
- letra de hypokrites - sole the jazzy rapper
- letra de peachy skies ft. em sky - gladwyn graham
- letra de voices (голоса) - chappee