letra de niangalie - edward's okoth bryan (ethan muziki)
aah
aah
aah
aah (mmh, mmh)
[verse 1] [kethan & wanavokali]
kuna wenye vitabu
kuna wenye hesabu
wengine tulibarikiwa sauti na kalamu
ninavyojijua, huwa napenda hadi mwisho
kwa yale machache najivunia
moja ni kukuita w-ngu, ooh-ooh
wengi walifanya nikadhani sitawahi kupenda
ila wewe umenionyesha, ninaweza kupendwa
na wengi wakasema eti sitawahi weza kuweza
ona vile tunaishi hii life bila pressure
[pre-chorus] [wanavokali]
kama unataka, penzi lisiloisha
niangalie, niangalie
mi ninapo-kuona, naona maisha
niangalie, niangalie
[chorus] [kethan & wanavokali]
nia- nia-, nia- nia-
niangalie, niangalie
nia- nia-, nia- nia-
niangalie, niangalie (niangalie)
[verse 2] [kethan & wanavokali]
we wa thamani kuliko shaba
ningetamani nikuite lover
hakuna jambo linaloweza
kunitеnganisha na penzi lako
unachotaka umekipata
utapokwenda nitakufuata
i will always bе yours
you will always be mine
till the end of time
[bridge] [wanavokali]
na-aah-aah-aah-aah, nakupenda
na-aah-aah-aah-aah, nakupenda
[pre-chorus] [kethan & wanavokali]
kama unataka penzi lisiloisha
niangalie, niangalie
mi ninapo-kuona, naona maisha
niangalie, niangalie
[chorus] [wanavokali]
nia-, nia- (aah-aah-aah-aah)
ooh niangalie, niangalie
nia-, nia-, ooh (nia- nia-, aah-aah-aah-aah)
niangalie (aah, nakupenda)
letras aleatórias
- letra de zero - liniker e os caramelows
- letra de privatizan - zurriagazo
- letra de jump around - ksi
- letra de tell me more - no mana feat. jessica ess
- letra de terapi - kent
- letra de urlaubsfotograf - maeckes
- letra de am i alive - from indian lakes
- letra de venüs - billur yapıcı
- letra de let you get away - shaun frank
- letra de the message - f. mills