letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de marapper bongo lala - edrin finity

Loading...

haha
jabriji-y now 255
listen

asante papa papa mnazareti kwa kutupa papa jones
tuna papa wengi papa fadhela iyu ni papa jay
kuna papichulo flani lakini ye si the don
saa ni mi mtaskiza, pow pow get off my way

tizi nimepiga naingiza bongo rappers uoga
marapper ni weusi nmefika wanaoga
marapper wakonde kama chin bees nawapiga madonga
marapper young kama lunya saa ni nini atabonga?

marapper bongo lala
kuvuka boarder shiingi ngapi nitoke na kajala
mi ndio baba levels zangu huwezi fika falaa
after this mkimbie simba w-nga mkanitoe kafara

hakuna bundle tizi saa mtani-google aje?
mistari kwa akiba, basi mwambie aje
anae jiamini ki michano basi anitaje
nina majina kadha ata sijui nijiitaje?

but they know me as f to the i to the n to the i-t-y
you n-ggas are weak men i see why
after jones kenya mi ndo naaminika
nawaingiza na ngeve ya nairobi alafu nawafunika
kudadeki
si waki-katoliki ila sala ni ya rozari
machela imefika misaa ya kuingizwa mochari
madogo nyinyi skiza bars hii si ngeli
billnass, amapiano wengine sijui singeli

mi ni con oya, am a con boy
mi mkora nawakula kona
rap charts nimeingia tu ki-maradona
tanasha ukizima fala nakudona, nyi ni dwanzi

bingwa wakufoka mi huhesimu ni pj
darassa ju ya class okay bado namsoma
mr blue anakazana ila hatokei
anasa za ashuu kakule nyama choma

bahati nyinyi sikubeba rapper ka diana
ju stamina iko juu natingisha kigoma
paragraphs ngapi izo kama mnani-weigh
mr omollo wee tulia naeza pita hadi na roma

mont waita rap woi wee si future
story ni za jaba simfeel uyo rapper
story ya tanzania mi leo imeni-capture
kurasa nafungua nikifunga iyo chapter

kaka naomba nikukamate, mjadala umeiwasha
umemaliza hii debate, umekaukiwa na mate
nakupea chai rangi imekuja fulu mkate
tutakupatia fielder wetu kisa amani tupate
eti waimbaji wenu wanajibandika wanyama
sijui chui, simba kenya tuko na wanyama
nachana mistari nyi mwachana mbuga
mshahofia “huyu ni nani anachanganya lugha?”

am f-ckin nilote sitambui mabantu
na-cover mic na cd kabla ya 1 2
tizi naingia na panya-route samahani
napepeta pande zenu shobo alinipa ramani

nawaacha na alama, cheki ngozi nimemax kote
ka haujatajwa ju huniwezi kwenye rap contest
naeza wadiss hadi mwika niingize forty
onyo huko bongo kenya tunaflow kama noti

zimeni vpn niwashe data niwa-hotspoti
tcm mnaionea cctv nshawalosti
kuishi maisha yangu kama rapper itakucosti
nawakilisha 2-5-4 kilifi coasti

i just k!ll it here, pwani iko kenya
nakama unataka kufeel this sphere
piga hatua then you gon start to live in fear
who is k!lling it? hakuna msee ana-intefere
wacha ni boasti
tizi si mbali ikiwa noma najutumia fare
to get this real is rare
najua mnashanga huu ni nani?
i left you all to stare, nkijibu i don’t care
naifanya bila dare, magwiji nawachomea

now is a back to back, i was away am back
i know you feel this mack, ndio nme-launch attack
all you rappers are wack, ka gunia you suck
ingieni kazi m-work, mi hamuezi ni f-ck

young k!ller, najua uko mkonde
usiwai nieka konde ndo aki nisikubonde coz am a young k!ller
hii ni mlima na mabonde
wasanii wenu shonde na nywele za rangi ki-blonde kama drug dealer

jabariji-y now
am the best rapper in 255 right now
yeah
yeah warning
last warning maze
last warning

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...