letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de leo ni leo - e-sir

Loading...

[intro]
(ogopa
mwoshee sahani alafu umpakulie chakula)
leo, leo
leo, leo

[hook]
leo ni leo, asemaye kesho ni mwongo
manzi nipe mkono
tembea nami, cheza nami
leo warudi nyumbani bila kiuno
wacha nikupe mfano
leo ni leo, asemaye kesho ni mwongo
manzi nipe mkono
tembea nami, cheza nami
leo warudi nyumbani bila kiuno
wacha nikupe mfano

[verse 1]
ni ijumaa, saa mbili ya usiku imefika
wikendi imeingia, lazima nitashangilia
tomo, ukifika nyumbani pigia simu rhoda na rukia
tamika, monalisa, usisahau tina pia
kuja na pesa za kutosha kabla hujanipitia
jua pirate wapenda mangiri, si mamia
kiswahili nawakilisha
mamanzi [?] nikiroga club [?] from the front to the rear
bringing down the house, no matter how strong the pillar
kwa sababu

[hook]
leo ni leo, asemaye kesho ni mwongo
manzi nipe mkono
tembea nami, cheza nami
leo warudi nyumbani bila kiuno
wacha nikupe mfano
leo ni leo, asemaye kesho ni mwongo
manzi nipe mkono
tembea nami, cheza nami
leo warudi nyumbani bila kiuno
wacha nikupe mfano

[verse 2]
natoka ndani ya nyumba nikimeremeta kama nyota
unaweza kuwa kipofu, usiangalie mbota
kutoka juu mpaka chini, nimevaa hilfiger
marashi ya polo, kwa hivyo vizuri nanukia
uh, gari ni 504, tom ana mtoto-to
“fungua dirisha, jo! kuna joto-to”
“mpaka wapi leo, bro?”
“baada ya kengeles, tutamalizia carnivore”
“bouncer, nimekuja ku-party, fungua mlango, jo!
leo ni leo, asemaye kesho ni mwongo”
“acha kuongea mob, nipe chupa mbili za tembo
nionyeshe upendo, oya!” (uh!)

[bridge]
leo, leo, leo
asemaye kesho ni mwongo
leo, leo, leo
asemaye kesho ni mwongo

[verse 3]
excuse me!
mbona wataka kutuua na mazishi, [?]
kuja waiter, twenty, tatu za sambuca
na kama kawaida, mbili, mbili, sambuca
[?] mwenye kutembea utafikiri ana viuno viwili
uh, jina langu ni e-sir
mimi wananiita
“mi na jina lako nimelisikia mahali, wa-sound very familiar”
ni lazima umenisikia kwa redio
kiss, capital, nation na pia metro
naweza kuwa mafuta ukiishiwa na petrol
mzee wako akikuumiza, e-sir ndio dettol
leo ni leo, kwa hivyo mbona ngoja kesho?

[bridge]
leo, leo, leo
asemaye kesho ni mwongo
leo, leo, leo
asemaye kesho ni mwongo

[outro]
kama unaona track imekushika
ningependa ukaribie speaker
ongeza volume
kama uko ndani ya club
iwe mamba, carni, basement au club yoyote
mwambie dj akupe scratch mbili
na kama anakuuliza, “kwa nini?”
mwambie hivi

[hook]
leo ni leo, asemaye kesho ni mwongo
manzi nipe mkono
tembea nami, cheza nami
leo warudi nyumbani bila kiuno
wacha nikupe mfano
leo ni leo, asemaye kesho ni mwongo
manzi nipe mkono
tembea nami, cheza nami
leo warudi nyumbani bila kiuno
wacha nikupe mfano
leo ni leo, asemaye kesho ni mwongo
manzi nipe mkono
tembea nami, cheza nami
leo warudi nyumbani bila kiuno
wacha nikupe mfano
leo ni leo, asemaye kesho ni mwongo
manzi nipe mkono
tembea nami, cheza nami
leo warudi nyumbani bila kiuno
wacha nikupe mfano

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...