letra de kamata - e-sir
[intro: e-sir]
ogopa police station presents
inspector e-sir and lenny
uh, tumekuja kuwashika!
tumekuja kuwashika!
hallo, mko wapi wadada?
[chorus: lenny]
mamanzi (ay!)
mko sexy (a-la!)
mko tayari kuienda traki nasi?
mabeshte mko poa? (tuko poa!)
mko freshi? (tuko freshi!)
mko tayari kuienda traki nasi?
[bridge: e-sir]
(ha!) kamata
(ha!) kamata
(ha!) kamata
(wako, wako)
(ha!) kamata
(ha!) kamata
(ha!) kamata
(wako, wako)
[verse 1: e-sir and lenny]
nipe mic, maji na mafuta
kibiriti, nipate kuwachemsha
speaker mbili, tupate kuwaamsha
ili na mic tupate kuwachoma
kisha wapate kucheza hizo ngoma
kwa sababu kila mtu anajua hakuna traki
ambayo inagonga kama traki ya ogopa
(boom-ba, boom-ba, boom-ba)
[pre-chorus: lenny and e-sir]
basi weka mkono kwenye kiuno
na usawanishe sawa na mdundo
peleka nyuma, rudisha mbele
sote tupige makelele
[chorus: lenny]
mamanzi (ay!)
mko sexy (a-la!)
mko tayari kuienda traki nasi?
mabeshte mko poa? (tuko poa!)
mko freshi? (tuko freshi!)
mko tayari kuienda traki nasi?
[bridge: e-sir]
(ha!) kamata
(ha!) kamata
(ha!) kamata
(wako, wako)
(ha!) kamata
(ha!) kamata
(ha!) kamata
[verse 2: lenny]
tunaposhika mic twasema tena tuna flow
pamoja basi sasa tunacheza hizo songs
wajameni kujeni mskie hii flow
[pre-chorus: lenny and e-sir]
basi weka mkono kwenye kiuno
na usawanishe sawa na mdundo
peleka nyuma, rudisha mbele
sote tupige makelele
[chorus: lenny]
mamanzi (ay!)
mko sexy (a-la!)
mko tayari kuienda traki nasi?
mabeshte mko poa? (tuko poa!)
mko freshi? (tuko freshi!)
mko tayari kuienda traki nasi?
mamanzi (ay!)
mko sexy (a-la!)
mko tayari kuienda traki nasi?
mabeshte mko poa? (tuko poa!)
mko freshi? (tuko freshi!)
mko tayari kuienda traki nasi?
[verse 3: lenny]
tulienda mbali
tukarudi tena
na tuliporudi wanawika
(hakuna show ka ogopa show)
tulienda mbali
tukarudi tena
na tuliporudi wanawika
(hakuna show ka ogopa show)
[verse 4: e-sir]
huu mwaka
ka moto, tutawaka
na wote walioongea taka taka
bila shaka, wata (shh!)
huu mwaka
[chorus: lenny]
mamanzi (ay!)
mko sexy (a-la!)
mko tayari kuienda traki nasi?
mabeshte mko poa? (tuko poa!)
mko freshi? (tuko freshi!)
mko tayari kuienda traki nasi?
mamanzi (ay!)
mko sexy (a-la!)
mko tayari kuienda traki nasi?
mabeshte mko poa? (tuko poa!)
mko freshi? (tuko freshi!)
mko tayari kuienda traki nasi?
[bridge: e-sir]
(ha!) kamata
(ha!) kamata
(ha!) kamata
(wako, wako)
(ha!) kamata
(ha!) kamata
(ha!) kamata
(wako, wako)
(ha!) kamata
(ha!) kamata
(ha!) kamata
(wako, wako)
(ha!) kamata
(ha!) kamata
(ha!) kamata
(wako, wako)
letras aleatórias
- letra de a denti stretti - mondo marcio
- letra de hard zum core - favorite
- letra de little illusion machine (wirral riddler) - arctic monkeys
- letra de kender de det? - anders matthesen
- letra de right in the night (feat. plavka) - fall in love with music - jam and spoon
- letra de licks and ducktape - lil b
- letra de pnp - seedhe maut
- letra de maybe you (cfcf remix) - say lou lou
- letra de we can only sleep - adam barnes
- letra de the rapture - gadzooks