letra de dreamer - dushy boy
dreamer lyrics
[intro]
currency coined in my own mint
ore dug from my own mine
i know some n-ggas , i know a couple n-ggas watching tv all day… sky ain’t the limit no moree.aaaaargghh its ur boyy dushy
[chorus ]
niko on stage (yeaah)
mama -n-lia machozi dushi i made it
zote zilikua njozi n-gga im famous (say wat)
mola ndo mpaji nasali naheshima nipate izo pesa
mama im famous
niko on stage (yeaah)
mama -n-lia machozi dushi i made it
zote zilikua njozi n-gga im famous (say wat)
mola ndo mpaji nasali naheshima nipate izo pesa
mama im famous
[verse]
naona tu flashes naona tu crowd
naona masister na mom wako proud
js on ma feet loui got tags
shida ilifanya nisake chapaa
mapisi wamekaa mwanzo walinkata
nak-mbuka mama aliuzaga adi mkaa
nalala ila njozi nawaza tu bars
kabla sjawaza ata mziki ni kazi
radio ndo shazi ,shida ni ulaji
kila mtu anataka pesa ya maji
dj anaminya afu bado mshkaji
njozi ilifanya niachane na mawakii
enzi nachana nalipwa konyagi
enzi nawazi nivute ata jani
enzi nawaza ni mziki ama shule yani huku ama kule yani wich ni whati (god d-mn )
mtoto alikaa akajua , tetee wakamwimba
akapiga sa hatua kwa hatua
mtoto si meno yamekua
mtoto anangata nasasa wanataka k-mngoa
mtoto ndo nishamature , ndoto inanlisha manure so giza so jua najua we ukiniona utajua kua mi dushy ni mbaya na najua
na sio ata mastim ni mind yenye esteem
wakeshe wanseme n-z-ona tu dreams
(god)….
waliniona top wakamind ,mpaka rap zao wamezicha kwa touch (liky)
redcross napita hizo ndinga weka mbali
njozi inanipa maukali ila na ndani kwa ndani inanipa maswali ya kiwaki
nani nidate , nani ni f-k, nani ni friend , na nani ni rat
nani anaweza akanipa itikadi
sawa im famous that is a fact
wengi waliniona wakakopi ma swag (yeah)
mama alisema im a figure , wengi walisema na saiz wananfigure out
kisa tu na waka d-mn pisi zinadata coment zao flames na macoper coper im a shotta n-gga waat
kipindi nawaza nitoke sina ata noti ( yeah yeah )
saivi wanakuja so fast kuleta suppoti (rat rat )
n-gga nimekunja roh niko ka roboti ( yeah yeah )
nafanya yakw-ngu yakwako yapigie magoti
and here i am ,mi ndo one man army call me super man
achana nao snitch na rats ni wanna daily wanakuita gee k-mbe real ni ma stubbers man
i never trust my friends, dont even f-k with ma shadow
kituu pekee naeza fanya , ni kukueka tu kando
shoboka uone nnavyo katakataizo mambo
mi ni gangster kitambo , sema lowkey ka views
comment zao saiv dushy lini kuna interview
i love my fans ina view, im busy building my youth
katoto nimekapa moyo kanataka na mguu
i cannot love u boo , ayo macopper unaniuz
fame inafika wakati inaniongeza maujuz
you know im ilicit dude ,na ndoivo spendi makuu
we unajua mi mbaya na unaniona kwa juu
all this rappers wako top shout out n-gga salmini
sjawah kuzwaaa na mtaa ,mama did it for me
i wanna get high ifike mahali siez figure a speech
i wanna get high ifike mahali siez skiza masnitch
balling for fun ,kweeetu imekua deal on street
but all in all my g ,this is my path and im lit
nasiko mwenyewe najua ni mimi mungu shadow na masnitch
watakupa mwewe wasema ni kuku nmeona mengi uku street its dushy
[chorus ]
niko on stage (yeaah)
mama -n-lia machozi dushi i made it (yeah-2
zote zilikua njozi n-gga im famous (say wat)
mola ndo mpaji nasali naheshima nipate izo pesa
mama im famous
niko on stage (yeaah)
mama -n-lia machozi dushi i made it
zote zilikua njozi n-gga im famous (say wat)
mola ndo mpaji nasali naheshima nipate izo pesa
mama im famous
letras aleatórias
- letra de lost love - c.shreve the professor
- letra de welcome to the country - blackwell band
- letra de ¿baby how u feel? - ril3y
- letra de gladys baby - briian
- letra de fighting stance - divith_raj
- letra de photograph - eden michelle
- letra de million dollar question - radiohead
- letra de chief par - dopeman - chief par
- letra de strawberry slime - szn escobar
- letra de akoben - yo village