letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de kabinti special - dully sykes

Loading...

[intro: dully sykes]
uh
weda malanga, uh-huh
tindwa, uh
yes
asante sana, studio 4.12
<>
prince dully sykes, brotherman
ha-ha, guess what? i’m in love, uh

chorus:
nimegundua
kabinti special
kabinti special
nimegundua
kabinti special
kabinti special
nimegundua
kabinti special
kabinti special
nimegundua
kabinti special
special for me

[verse 1: dully sykes]
ni yeye
mtu w-ngu wa karibu akiniacha na kosa raha
ni yeye
akinipa dhabibu ya moyo, na kuwa kama kichaa
ndio kale
kabinti special, mwenzenu nataka kuoa hata leo
mke w-ngu wa kesho, mwenzenu nataka ndoa
ndio kale
kabinti special, mwenzenu nataka kuoa hata leo
mke w-ngu wa kesho, mwenzenu nataka ndoa
chorus:
nimegundua
kabinti special
kabinti special
nimegundua
kabinti special
kabinti special
nimegundua
kabinti special
kabinti special
nimegundua
kabinti special
special for me

[verse 2]
ndio mie
nikupae mapenzi ya dhati na raha kila saa, mmm
usinikimbie, ‘ukanipa wakati mgumu nishindwe kulala, mmm
ndio kale
kabinti special, mwenzenu nataka kuoa hata leo
mke w-ngu wa kesho, mwenzenu nataka ndoa
ndio kale
kabinti special, mwenzenu nataka kuoa hata leo
mke w-ngu wa kesho, mwenzenu nataka ndoa

[chorus]
nimegundua
kabinti special
kabinti special
nimegundua
kabinti special
kabinti special
nimegundua
kabinti special
kabinti special
nimegundua
kabinti special
special for me
[drop]

[chorus]
nimegundua
kabinti special
kabinti special
nimegundua
kabinti special
kabinti special
nimegundua
kabinti special
kabinti special
nimegundua
kabinti special
special for me

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...