letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de dodoma - dully sykes

Loading...

[intro]
studio 4.12

(instrumentals)

[intro]
dodoma
dodoma
dodoma

[verse 1]
huruma yako inanifanya nizidishe penzi
na kila mtu hilo mi nataka ajue
hekima na busara pasipo ushenzi
nitakulinda wale wasikuchukue
na wa zamani pia asije k-mbusha enzi
usije sababisha kifo nijiue
mi nakupenda kweli ‘elewa, kipenzi
nataka mama dully nae akutambue
eh-eh-eh…

[hook]
baby, naomba nipe j-po nafasi
unipe tamu ya moyoni
nisiwe na wasiwasi
baby, naomba nipe j-po nafasi
unipe tamu ya moyoni
niipooze yangu nafsi
[chorus]
oh, mshenga twende…
twende zetu (dodoma)
twende kule (dodoma)
tukapose, tuoe (dodoma)
basi twende…
ah, we (?) twende (dodoma)
twende baba (dodoma)
twende, twende
oooh

[verse 2]
uzuri wako hivi wa aina gani?
umenifanya niwe chetu ‘unanifanya na kutaja hadharani
nachekwa mbele za watu
hawa wengine hawakupati asilani
labda madam wema sepetu
nije dom ama nichome ubani?
nikuoe tuishi kwetu
hawa wengine hawakupati asilani
labda madam wema sepetu
nije dom ama nichome ubani?
nikuoe tuishi kwetu

[hook]
baby, naomba nipe j-po nafasi
unipe tamu ya moyoni
nisiwe na wasiwasi
baby, naomba nipe j-po nafasi
unipe tamu ya moyoni
niipooze yangu nafsi
[chorus]
oh, mshenga twende…
twende zetu (dodoma)
twende kule (dodoma)
tukapose, tuoe (dodoma)
basi twende…
ah, we (?) twende (dodoma)
twende baba (dodoma)
twende, twende

[outro]
dodoma
dodoma
dodoma
dodoma
dodoma
twende dodoma
dodoma
dodoma
dodoma
dodoma
dodoma
twende dodoma

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...