letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de tepetepe - drxolly(bwanahaeusi)

Loading...

intro

baddest 47

puyaka puyaka
yooh yooh..yoh (radder man)
it’s your boy badman (yeah)

(kingfenya on the beat)

verse 1

dr xolly

bwanaharusiiiiiii (hold up)

you coming over when you come to me
taking over with the best ting
sina noma ukinitaka
coming coming a little party never k!lled n0body
wapenda vitonga vya kukadiria
kama tulivyobonga mabaharia
hatuhudumii mtu
mwenye sura ya kutu
na roho chuki wivu kwanini yeeeh

usiombe ukagongwa na roli..(murderrr)
bwanaharusi nishakula cha pori..(boom boom)
dakika tisini magoli..(murder)
imeshanipandaga mori..

bridge

(dr xolly)

naiona hiyooo…hiyooo (hiyoooo)
hiyo hiyo hiyo
naiona hiyooo…hiyooo (hiyoooo)
hiyo hiyo hiyo

chorus

(baddest 47)

katoto tepetepe yeah..tepe..tepe
ngoja nikapakate..kate..kate
katoto tepetepe yeah..tepe..tepe
ngoja nikapakate..kate..kate
katoto tepetepe yeah..tepe..tepe
ngoja nikapakate..kate..kate
katoto tepetepe yeah..tepe..tepe
ngoja nikapakate..kate..kate

verse 2

baddest 47

haikatai..(chichii) haikatox
nabonge la ndonga nimeagiza dox
kitu na box si tunaforce
wanawanaochonga tunawavisha soksi
(yeeyeeh)
kama kala bwax kama la mbwanda..(mbwandaaa)
mtoto anashindu kamswambwanda..(mbwandaaa)
nakatoa mbeya mpaka nangwanda..(ngwandaa)
mimi ni mwanajeshi navua gwanda..(gwandaaa)
yeeyeh no no no nooo

usiombe ukagongwa na roli..(murderrr)
badman nishakula cha pori..(rader)
dakika tisini magoli..(rader)
imeshanipandaga mori..(chichichii)

bridge

(dr xolly)

naiona hiyooo…hiyooo (hiyoooo)
hiyo hiyo hiyo
naiona hiyooo…hiyooo (hiyoooo)
hiyo hiyo hiyo

chorus

(baddest 47)

katoto tepetepe yeah..tepe..tepe
ngoja nikapakate..kate..kate
katoto tepetepe yeah..tepe..tepe
ngoja nikapakate..kate..kate
katoto tepetepe yeah..tepe..tepe
ngoja nikapakate..kate..kate
katoto tepetepe yeah..tepe..tepe
ngoja nikapakate..kate..kate

outro

yooh..it’s your boy badman (baddest 47)
bwanaharusiiii (dr xolly)

final k!ller..

pango records

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...