letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de compensate - dream team ke

Loading...

[verse 1]

ao nickname ilikuwa ni james bond
ju design mi hupiga suti
pia ye akadai amenidedi kuna bond (amenidedi kuna bond)
ju mi ni mrefu ye ni mfupi
na mashoot bana tutaweza tukipost (post up pichaa)
picha piga tu na huji
mikadhani nimepata queen nikafloss( waah)
ata ka mi ukula blueticks
mafisi wakamweka ye ni persona non gratta
wakadai watapita naye jo wakimpata
mawazo nilikuwa nimejaza jo nasuffer
nikadhani nachezwa ni kama ni subway surfers
ju ye ni denge first class… mi ni chali smarta
ligi zetu zinacheza kcee na ki fanta
ye hudunga prada na mi hudunga starter
na tukipatana ni mi hubaki ninastammer

msichana mali safi nilibaki nimetii joh (nimetii ,nilibaki nimetii)
na hapendi majani, jaba ama tu kwa tea no! ( no! no! no!)
nikacurve ao wengine ju k-mcheza ni ka sin joh
(ju k-mcheza ni ka sin)
na maboy wakanikanya joh uu denge bana zii no

jina ni wande boo,niko lockеd na sina kipande oops!
plus one na we si ni drеam come true
unaeza come my way
still love ni kibao tunaeza compensate
aye!
you can come my way
still love ni kibao tunaeza compensate
msupa basi come my way
tulifall out na sai nasaka come back
aye!
shida nilikuwa drunk in love
drug ni love
kwa hapa mi mlevi wa konyagi nalala ndani( ndaniii)
sai niko base kwa pub kwa face narub
insta nikicheki wasee wanazama ndani
kwa menje ni ma dm kibao mabill mathao
fala mimi nilidhani ati nitamanage
(jooh… ayayayayaya)

ju boychild sikujua kujiexpress
so nika piga look ndio atleast ni impress
toka kuwa the main n-gga pia ni express
nilikuwa nalala in sai mi huitwa ex

jina ni wande boo..niko locked na sina kipande oops!
plus one na we si ni dream come true
unaeza come my way
still love ni kibao tunaeza compensate
aye!
you can come my way
atill love ni kibao tunaeza compensate
msupa basi come my way tulifall out na sai nasaka come back
aye!

msupa basi!
wewe ndio nadai x2
wewe ndio nadai dai dai
wewe ndio nadai x2
wewe ndio nadai da dai da dai
wewe ndio nadai x2
wewe ndio nadai dai dai

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...