letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de wanzala - don santo

Loading...

wanzala… mwana wa mw-ngaza
mama alilia kwa furaha, eh eh eh…
baba akasema, “uyu ni ndoto zetu hai,”
moyo wa kijiji, mtoto wa sala

wanzala… mwana wa sala, mwana wa sala…

eh wanzala, moyo wa dunia
nawe unaenda mbali — lakini roho yuko nyumbani
lion in the jungle, born to rise again
na safari bado inaendelea… eh eh eh…

nilitembea kwa vumbi, nikakutana na upepo
nililia kwa mvua, nikacheka kwa jua
god alinipa sauti, familia ikaniombea
na dunia ikasema, “uyu kijana ni moto wa baraka.”

moto wa baraka… wanzala eh eh eh…

(chanting softly)
wanzala ooo… mwana wa ndoto…
safari inaendelea, moyo hauchoki…

eh wanzala, mwana wa mw-ngaza
dreams of the old, blood of tomorrow
lion in the jungle, standing tall again
wanzala — moyo wa dunia, safari ya sala

na safari bado inaendelea… wanzala… eh eh eh…

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...