
letra de kupe - don santo
intro
chorus
||: walahi hakai tapeli hodari :||
||: mdomoni ni tende, k-mbe ni kupe :||
verse 1
huko mjini kuna mambo, unavyoona k-mbe sivyo
wenye suti majambazi, na magari ya kifahari
kwa hivyo jichunge mwenzangu, waeza poteza mengi
kwa hivyo jichunge mwenzangu, waeza poteza vyote
chorus
||: walahi hakai tapeli hodari :||
||: mdomoni ni tende, k-mbe ni kupe :||
verse 2
leta pesa tutaifanya double, triple hata mara k-mi unavyotaka, utapata;
na k-mbe kile wanachokita sana ni kukubwaga;
hao x3 – ni wezi kupindukia;
i know x 3 – ni ngumu kuwatambua
akija na story, jipange pange; akija na vako, mrushe rushe
chorus
||: walahi hakai tapeli hodari :||
||: mdomoni ni tende, k-mbe ni kupe :||
verse 3
t’t’take care, mjini huwaga na wahuni;
utadhani muhubiri wa neno la mungu, k-mbe ni broker na kahaba
“bibilia inasema (kunja mdomo hivi x2) halafu nitawaambia wapande mbegu”
acha ukora yeye yeye yeyee, hahahahahahahaha shame on you!
chorus
||: walahi hakai tapeli hodari :||
||: mdomoni ni tende, k-mbe ni kupe :||
letras aleatórias
- letra de салют! (salyut!) - hedge.ogg
- letra de waarheid - youngstacpt & shaney jay
- letra de tempo - vazelina bilopphøggers
- letra de skill - xeox
- letra de dance the night away - the hyper girls
- letra de au loin - joseph kargbo
- letra de happy - colin fuller
- letra de hexxed! - yxng flame
- letra de nachts hör ich dich manchmal weinen - ross antony
- letra de bliss - chastity