letra de allday everyday - don barker
[ intro: don barker ]
bonge la laana hio!
bonge la laana hio!
bonge la laana hio!
mama yangu!
mungu unisamehe!
mungu unisamehe!
mungu unisamehe!
[ chorus: m-f- ]
all day,everyday
all day, nasaka mapene
nakula bata, nawakamata
i do what i want, babangu basata
everyday babes wako nyomi
aika tamika nayomi
don’t know me n-gga you don’t know me
ndo maana you’ll never be one of ma homies
[ verse 1 : don barker ]
si tunasaka mapene
mzuka mwingi ka sabene
mpaka pochi liwe nene
mpaka watoto wanipende
nizikuze kama nywele
nicheze kama pele
wakate machepele, sio lazima unapoenda waende
bro, u need it, go get it
ukileta ishu za kudanga danga, nakubaka baka
me ndo don barker, mpiga paka (p-ssy)
hatuna mda wa kuf-ck up, tunawaka
wana wanasema sionekani elementi
k-mbe mda mwingi, nipo kwenye foleni ya benki
na hustle sana, bro siwezi kuishi kwa bajeti
it doesn’t make sense
sina mda wa kupoteza
nashindwa hata kuchombeza
ni makini ka professor
nataka nidake hata tezza
mda unaenda, umri unakwenda
mama ataka blenda, baby ataka denda
viatu vinatema, kodi bado tena
nisake hizo hela, niweze kuishi vyema ayy
[ chorus: m-f- ]
all day,everyday
all day, nasaka mapene
nakula bata, nawakamata
i do what i want, babangu basata
everyday babes wako nyomi
aika tamika nayomi
don’t know me n-gga you don’t know me
ndo maana you’ll never be one of ma homies
[ verse 2: don barker ]
washkaji wanapenda kuvimba
kwa pesa za kupewa
madem zao wanaringa
this ain’t fair
wamejaa umbea, madem wa kushare
pombe za kugongea, mi sitaki
mi nafanya mishe zangu lowkey
efficiently, yaani, i be like f-ck it!
[outro: don barker & m-f- ]
huwezi kufanya kama hivi,ni laana hii!
yo m-f- what’s up!?
shoutout to my n-gga godbless anderson
you still living at your mama’s house?(hahaha)
vitus on the beat n-gga!
don barker!
shoutout to my n-gga chris barker!
ughuh! yeah! ugh!
skrrt! skrrrrt!
letras aleatórias
- letra de run 2u - fragile art
- letra de dals to! - michajlov
- letra de safety nets and sleeping patterns (acoustic) - the kite machine
- letra de irgendwann wird es nacht - kzzr
- letra de so long - l'sonne
- letra de better decisions - birthofadam
- letra de the catafalque - tsaruicide
- letra de не чекай (don't wait) - laud (ukr)
- letra de justice - gotham city syndicatez
- letra de инопланетянин (alien) - smitgrey