letra de nobody is safe 2 - dizasta vina
ah! mkacha naku-reflect mtanzania
ulio jela au kwa thabo mbeki ulipozamia
sicheki cheki hata ukitania
man, hii record heavy ona haubebi hata kwa scania
ah! sikiliza tenzi motomoto
nimefuzu sitishiki na hizo kesi ndogondogo
maemcee na verse za uongo uongo
longolongo s’kiza tenzi kama mkongo wa gesi ya songosongo,(nyoko)
ah, no diggity
you think you rhyme hard n-gg-r, i rhyme hard times infinity
far from the usual house you visit
so get your bars straight nikidrop bars ujue ni shigidi
salamu wana sio kwema nilikotoka
ninatema ngumu mpaka sio vyema kuokota
nikitema nawa… kosha
wanatamani niwe nabii uh! sema sina wema wa kutosha
round kwenye jiji nasign ma-deal wima
matatizo kibao na bado still nina
punchlines na flows ma-style ma sk!ll ting’a
sipo chimbo nipo period na bleed vina
sauti ya mtoto wa afrika
bantu iki na oko na kadharika
so hii sio stimu ya dompo na baltika
huu ni uwezo napeleka joto antarctica
mdingi nna verse nyingi kushinda bible
nina punchline na sina haja ya rifle
naiwaza future unavyopigania survival
ukinivamia naua career nashika t-tle
alphabet, irable,digits silabi
toka nonde-sua na spit nafika kila street
makapuka janjaro na kina k!ller d
bars zangu ni kubwa kushinda pyramids
jasho kwenye kazi kusanya mtaji
huu msako heavy ukishazingua dhambi kwako
cambiaso nina hustle kwenye kambi
penye chambi za kutosha ninaweka kambi hapo
mi ni hewa, mi ni ghala la msosi
mi ni maji
mi ni hela, mi ndo shamba na mgodi
mi ni kazi
mi sio msela, mi sio danga sio tozi
mi sio msafi
j-po cl-ss ila hapa haupozi
mi ni mavi
mi ni noma, mi ndo’ aibu inayokukuta ukweni
mi ndo gono ngoma mimba inayotungwa ukeni
mi ndo’ siri ya popobawa ninayekupitia nyuma hausemi
na mi ndio herufi ulizofunzwa shuleni
mi ndio mercedes-benz, ford mbili na porsche
mi ndio langa, ngwair, complex, chid na ngosha
nyie sayari kwenye anga mi nyota solar system
mi ndio first degree murder wewe ndo victim
mi ndo live scene footage
area haitoshi residents, dizasta ni hardcopy evidence
mi gadaffi, savimbi, dalai lama
mi ndo mkate kuwa wingi kipindi chai ni ngama
tafsiri halisi ya picha hamchekishii caption
nawachora maemcee irrational
mara best, mara next geothermal power plant sihofii betrii za national
infos kama google ama encycropedia
hata uwe na nguvu hauwezi mudu hii ni heavier
master nimeoccupy area
kama maada ama nyimbo mbovu zilivyo occupy media ah!
tangu siku nimetupwa kwa sayari
ndipo wakatabiri yatavunjwa majabali
wajuba wakaanza kurusha ndumba ni hatari
na mtume nikatupa infos kama chumba cha habari
nawapeleka mbingu ya saba
mbingu ya mbali
mbingu isiyofikika hata kwa stimu za shada
nawafundisha misa muiheshimu ibada
msisahau mimi ndio mzimu wa langa
niko juu sana
nipo juu and i’m lonely
sometimes, naona kuwa juu peke yangu it’s getting boring
na rhyme so smooth mpaka copenhagen denmark
letras aleatórias
- letra de stay with me (romanized) - miki matsubara
- letra de all love - onyxx
- letra de dirty susan - peculiar pretzelmen
- letra de all gas no brakes - thaindividuals
- letra de luulin et mä tiesin - ruudolf
- letra de towards a dark sky - morbus chron
- letra de la llevo al cielo - marka akme, the la planta & diego thug
- letra de i've been missing you - sibren
- letra de jingle bells - yam haus
- letra de искра (spark) - flin