letra de zuwena - diamond platnumz
mhhh!! habari gani kaka naamini unanisikia
mimi mzima wa afya, mama mungu anasaidia
toka ulipotuacha mahututi an-z-diwa
bibi presha presha nae akatangulia
bado twakuombea ulale salama pema
j-po moyoni nina dukuduku
natamani kusema, nisemeee
zile mali husia ulizotuhusia tuligawa salama
zuwena zote tukampatia tusiwe ndugu lawama
ila zuwena kaka amebadilika sana
yaani shem lake bi zuuh wa leo sio yule wa jana
natamani ungemuona (zuwena)
j-po ungemuona (zuwena)
kidogo tu ungemuona (zuwena)
ungemuona (zuwena)
ooooh ungemuona (zuwena)
aaaah zuwena (zuwena)
ooooh ungemuona zuwena (zuwena)
zuwena oooh (zuwena)
mhhh! zuwena sasa kawa chotara
sio tena cheusi mangala
ngozi kaichubua awe muzungu
anavuta na sigara
mara boko, mwananyamala
anachezesha tu miamala
kutwa anaisugua kipepе rungu tena peku bila ndala
aaah zuwena siku hizi anabandika kopе (zuwena)
zuwena mipasuo kama yote (zuwena)
ooh zuwena lipa shika tuondoke (zuwena)
aah zuwena wanamuita cha wote, oh!, oh!
juzi kabebwa na majirani hata hajitambui (zuwena)
yaani kalewa tafarani kautwika mbwi (zuwena)
zuwena sio tena wa ibada na dini
sadaka chenji asaidie
siku hizi kageuka pedeshee wa mjini
kutunza bendi wamsifie
na lile gari lako urithi wa babu la kulishia ng’ombe
siku hizi kama kwato kwenye vilabu linabebea pombe
mama dede kitandani hawezi hata kutembea
zuwena ameshindwa hata kuja k-muona panadol k-mletea
natamani ungemuona (zuwena)
j-po ungemuona (zuwena)
kidogo tu ungemuona (zuwena)
ungemuona (zuwena)
ooooh ungemuona (zuwena)
aaaah zuwena (zuwena)
ooooh ungemuona zuwena (zuwena)
zuwena (zuwena)
siku hizi kataradadi
anadanga anakula ndizi kwa maganda
anajiita j-lo
anadanga anakula ndizi kwa maganda
eti mzungu mweusi
anadanga anakula ndizi kwa maganda
anatunyoosha baba
anadanga anakula ndizi kwa maganda
letras aleatórias
- letra de all that we do - detroit l-o
- letra de 05. b-i - ellenasa
- letra de novecientas dosis de rap - bootie aka ebor
- letra de intro freestyle - slimegoon9
- letra de day off - senior (official)
- letra de again - seddy hendrinx
- letra de chàng trai với nụ cười tỏa nắng - miina
- letra de summer vibes - mj0.6
- letra de abstinencia (feat. leech orphan) - elian g
- letra de piekło (oryginał) - thug (pl)