
letra de salome - diamond platnumz
[rayvanny]
kioo hakidanganyi mama
umejipodoa umepodoka
mwendo na shepu, vyote mwanana
mimi suruali yanidondoka
tukimbizane nini salome w-ngu?
iyo michezo ya jogoo
mbona watizama chini salome w-ngu
ukimuona jongoo
inama kidogo, shika magoti
mimi nimesimama kama ngongoti
mtoto jojo, sio roboti
chumbani bingili bingili somersault
[diamond platnumz]
unanitekenyaga ukinyonga salome
unanitekenyaga ukinyonga
unatikenyaga ukinyonga kweli
unanitekenyaga ukinyonga aaaha!
h–ra makulu vane, h–ra ngambe
h–ra na zari, h–ra ngambe
[diamond platnumz]
utamu kolea aprokoto
ting’ali ting’ali ndani kwa moto
nitamnyongea, msokoto
niteme sumu kali kama kobokoo
eeeh mapenzi yananipa shida
shida maama, ni donda lisilokuwa na tiba
tiba bwana, usije baby kanicharanga
kanichambua moyo kama karanga
mie baby kwenye msambwanda, huwa sienda
ngenge ni nganganga
[diamond platnumz]
unanitekenyaga ukinyonga salome
unanitekenyaga ukinyonga
unatikenyaga ukinyonga kweli
unanitekenyaga ukinyonga aaaha!
h–ra makulu vane, h–ra ngambe
h–ra na zari, h–ra ngambe
[rayvanny]
mie mwenzako nyang’anyang’a
mie binzari we ndo nyanya
baby kw-ngwaru
isimamie kama kangaroo
ibane kangwaru
babu juma mpige kwakwaru
kwakwaru kwakwa
[diamond platnumz]
chambua kama karanga sasa
chambua kama karanga
ichambue kama karanga salome
chambua kama karanga
i say washa washa moto washa
songa songa ugali songa songa
mpaka chini mpaka chini
[diamond platnumz and rayvanny]
wenye wivu wajinyonge leo
wanye wivu wajiinyonge
wenye wivu wajinyonge salome
wenye wivu wajinyonge
wenye wivu wajinyonge kweli
wanakodoa kodo wanakodoa (macho kodo)
(wale kodo)
ukinyonga (wanakodoa kodo wanakodoa)
ukisonga (wanakodoa kodo wanakodoa)
letras aleatórias
- letra de you see me walking - it's dynamite
- letra de frankenstein - babytron
- letra de go go go (complete edition) (remix) - rotorial
- letra de never gets old (live) - kim walker-smith
- letra de the domino saint - ellika las vegas
- letra de free time - the hails
- letra de показал ей (pokazal yei) - димдэкт (dimdekt)
- letra de silent night - brett young
- letra de love me little more - iman fandi
- letra de the christmas song (chestnuts roasting on an open fire) - brett young