letra de nitakukumbuka - diamond platnumz
verse 1
ooooh
ah
ale tate tate
ah
kinachoniuma ni mazoea
kunifanya nikeshe usiku na mchana
ah
au mate au mate
ah
mbele na nyuma nikingojea
huenda ikabadili mfupa kuwa nyama
ooh siri yangu siri
bado natunza iwe yangu
siri yangu
j-po kuwa natamani kusema
wachache
bado naisubiri
mola hajanipa zamu yangu
aah
huenda utanik-mbuka siku unifuate
ah
moyo kama nguo ukausasangua
kwa moshoga zako
ukaacha funguo
kwa kujishebetua ukaenda zako
moyo kama nguo ukausasangua
kwa moshoga zako
ukaacha funguo
kwa kujishebetua ukaenda zako
chorus
aah
rudi mama eeh
nakuk-mbuka
nakuk-mbuka eeh
nakuk-mbuka
mwenzako silali eeh
(x4)
verse 2
ah
niacheni mie
kinachoniuma ni mazoea
mie
siwezi kuficha nimekuzoea
mie
kinachoniuma ni mazoea
mie
siwezi kuficha nimekuzoea
hali yangu si shwari
mda wowote huenda naja (huenda naja)
fanya uje na daktari
tena ikibidi waganga (waganga)
na matafuta hodari
kutoka binga na tanga
wale nguli machachali
wapiga ndele kwa vanga
ooh ooh
hizi furaha za duniaa
mamaaa
ziko tangu vile iliaa
mamaaa
njoo nakusubiriaa
mamaaa
ona hata nakuimbiaa
mwenzako silali
chorus
aah
rudi mama eeh
nakuk-mbuka
nakuk-mbuka eeh
nakuk-mbuka
mwenzako silali eeh
(x4)
(x2)
letras aleatórias
- letra de breaking through - glassio
- letra de 蛍火 (hotarubi) - dir en grey
- letra de elhamdulillah baba - oguz swax
- letra de uno - ike the tike
- letra de beloved delusion - ofb1t
- letra de little me (steve smart & westfunk radio edit) - little mix
- letra de firestorm of self-gratification - dragoncum
- letra de the only flame in town [demo] - elvis costello
- letra de when i see you - s9_strapped
- letra de joy comes - tasha layton